Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Safi sana mkuu vijana wanashindwa. Kuendana na speed yako eti.
Ha ha ha, mimi nasubiri siku nipige hattrick nipumzike.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu vijana wanashindwa. Kuendana na speed yako eti.
Hahahahahhaha huo mchepuko ni mm kumbe ndo ulikuwa kwenye Mingo hapa eeeh
Kumbe ulikuwa unanilia Mingo tu soon nakuja huko DarWewe ningetaka uwe mchepuko wangu ingekuwa fasta tu, siku zile umekuja Dar ningekomaa na wewe siku zile.
KabisaaaaAaah siku nyingine huwe unatembea ni miwani ili ile mala pap gemu limekukutia njiani unalicheza bila wasi
Mwenyewe haloter walnifungia nikawapigia Leo Tigo nimeogopa nimeweka Mara ×3 tu
Kumbe ulikuwa unanilia Mingo tu soon nakuja huko Dar
Hongera mkuu.
Ulikuta niko busy project zilikuwa zimejipanga kiasi ambacho hata ingizo jipya lingeharibu mtiririko.
Ukija hii January bado sitaweza kukutafuta, maana ni msimu ambao kwangu Mchepuko siyo deal.
We don hivi unjua demis yuko na nani huko aliko?
Na mm sipendi kuitwa mchepuko hata hivyo ningekukataaa tuUlikuta niko busy project zilikuwa zimejipanga kiasi ambacho hata ingizo jipya lingeharibu mtiririko.
Ukija hii January bado sitaweza kukutafuta, maana ni msimu ambao kwangu Mchepuko siyo deal.
Na mm sipendi kuitwa mchepuko hata hivyo ningekukataaa tu