JF Voucher Game

JF Voucher Game

Wameniwahi sio kidogo Leo niliacha miwani yangu lakin huyu anajiita don clezoo nitamkomesha kesho
Aaah siku nyingine huwe unatembea ni miwani ili ile mala pap gemu limekukutia njiani unalicheza bila wasi
 
Mwenyewe haloter walnifungia nikawapigia Leo Tigo nimeogopa nimeweka Mara ×3 tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu bhana pole sana
 
Ulikuta niko busy project zilikuwa zimejipanga kiasi ambacho hata ingizo jipya lingeharibu mtiririko.

Ukija hii January bado sitaweza kukutafuta, maana ni msimu ambao kwangu Mchepuko siyo deal.
Na mm sipendi kuitwa mchepuko hata hivyo ningekukataaa tu
 
Back
Top Bottom