Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
JF Members mmefanya niende shule this year bila kupenda kisa matus yenu ya hapa.
Ngoja niende nikaongeze elimu af nitarudi JF tena
Ngoja niende nikaongeze elimu af nitarudi JF tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Critical thinker ndo kazi yao. Siyo kama think tank ya serikali.Jf member mmefanya niende shule this year bila kupenda kisa matus yenu ya hapa ngoja niende nikaongeze elimu af nitarudi jf tena
😂 😂 😂 😂 😂Nunua udaktari.Na kuanzia hapo utaitwa "Dokta@Mwachiluwi"!Ni 2500$
Au unamshauri nini huyu msomi mtarajiwa?😂 😂 😂 😂 😂
😂😂😂😂🤣🤣Nunua udaktari.Na kuanzia hapo utaitwa "Dokta@Mwachiluwi"!Ni 2500$
Anunue udokta tu hakuna namnaAu unamshauri nini huyu msomi mtarajiwa?
Ahahah sinarudia classMpaka umalize hiyo Shule,utatukuta huku JF tuna elimu nyingine kabisa coz the World is changing nothing stay the same,
Itabidi ugeuze tena kurudi Shule.
😀 😀
Ahahha kwahiyo mwandiko wangu ni mbaya ivyoNasubiri kuona mabadiliko ya mwandiko wako hapa jukwaani baada ya kutoka shule
SawaUnarudi shule ukapige nyeto la foolish age?