Done my part (it was hard lakini).....may the best of all win. na asinisahau katika kusherehekea kwake.....
Mkuu unanishushia hadhi . . . equivalent yangu ni Lewis Makame au Samweli Kivuitu . . . LOL
kwa kweli kura yangu ningempa Mzee mwanakijiji..
kwa sasa inakua ngumu, ila kwa hekima kidogo nlizonazo nitapiga kura!
Nami natangaza nia: Man of the year 2011
Nina imani si wingi wa comments that matters but the quality...watch this space!
Malaria Sugu,
Nasikitika mpaka sasa umeshindwa kujitokeza ngaa kunijibu au hata ku acknowledge kuona ujumbe wangu- umenisikitisha sana hasa ukizingatia kashfa na matusi niliyoyapata kwa kukusifia kuwa unajua kazi yako ya propaganda.
Maadamu umeamua kuuchuna, basi naingia mtaani kukutafuta ili niweze kukubaini na unipe hiyo ''tuition'' ila ntakapokufehemu ntawajulisha members wote wewe ni nani- ushanifahamu hapo? Kufika Ijumaa jioni ntakuwa nshaposti jina na picha yako hapa...............hiyo picha yako ntakupiga utakapokuwa unatoka kwenye lifti pale PPF tower................
Proverbs 26: 4 Do not answer a fool according to his folly, or you yourself will be just like him.
Malaria Sugu,
Nasikitika mpaka sasa umeshindwa kujitokeza ngaa kunijibu au hata ku acknowledge kuona ujumbe wangu- umenisikitisha sana hasa ukizingatia kashfa na matusi niliyoyapata kwa kukusifia kuwa unajua kazi yako ya propaganda.
Maadamu umeamua kuuchuna, basi naingia mtaani kukutafuta ili niweze kukubaini na unipe hiyo ''tuition'' ila ntakapokufehemu ntawajulisha members wote wewe ni nani- ushanifahamu hapo? Kufika Ijumaa jioni ntakuwa nshaposti jina na picha yako hapa...............hiyo picha yako ntakupiga utakapokuwa unatoka kwenye lifti pale PPF tower................
JF bila MS itakuwa haina ladha wala utamu.
Hivi umetumia vigezo gani kumpa huyu MS hiyo title........???Kwako Malaria Sugu,
Kwa kweli nimekuwa nikivutiwa sana na uwezo wako katika kukabiliana na hoja za wapinzani wako au niseme wachangiaji wasiokubaliana na hoja zako. Huna hasira, unajibu kwa kifupi na unajua kuanzisha mada chokonozi.
Kwa kweli MS umefuzu vema katika fani yako hii ya propaganda. Japo hoja zako zaweza kuwa sio sawa upande wangu lakini uwezo wako wa kuziwakilisha katika namna ya kukera na kuudhi unajimudu vilivyo.
Kwa kuwa mimi ni mwanajamvi ambaye bado ni ''learner'' sana nahitaji sana kujifunza mengi toka kwako, maana nataka unifundishe huo ujasiri (sio hoja zako). Sijui kutuma hiyo mnaita PM sijui.. kwa hiyo nakuomba unielekeza naweza kukuona vipi ana kwa ana. Au kama unaweza kunipatia namba yako ya simu. Kwa vile wewe unajua ku pm basi naomba kama hutapenda kunijibu hadharani ni pm basi ili tuonane mkuu.
Nimeweka hapa kwa vile najua ni watu wengi watapenda kufahamiana na wewe na kupata huo utaalmu wako wa propaganda
Sishangai wewe kuandika hivi...........KWENYE WATOA PUMBA WA MWAKA ULISHIKA NAMBA 2 ......NYUMA YA MSMS hawa wote wana ku-miss, wanapenda mada zako na majibu yako na wanakuelewa hoja zako. Mie nakupa pongezi na hongera. Na kwa mara nyingine tena nasema: JF bila MS itakuwa haina ladha wala utamu.