JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Wakuu,

Hii thread imefanya nijiulize maswali kadhaa. Naomba mnisaidie kujibu, pengine kwa faida ya wenzangu waliojiunga siku za karibuni hapa JF:

  1. What is the governance structure of JF? How do bodies like JEC fit into it?
  2. How are JF leaders/administrators appointed?
  3. Is there a formal document outlining governance, office bearers, roles and responsibilities of members and leaders, different member categories and the requirements/privileges of each category, annual events (such as Man and Woman of the Year) etc?

In my opinion, lack of or non-disclosure of this information has contributed to a passive attitude to the Poll. Nyani Ngabu has not bothered to respond; members have not bothered to vote; JEC has issued a ruling but still no bother, no bother...
 
Naomba kupata uthibitisho wa jinsi za washiriki kabla sijavoti tafadhali.
 
Mimi sikupiga kura, kuua deadlock weka kura yangu kwa Gaijin hapo.
 
Mkuu unanishushia hadhi . . . equivalent yangu ni Lewis Makame au Samweli Kivuitu . . . LOL

Kivuitu yule aliyesababisha umauti uwakute zaidi ya wakenya 1000?
Mkuu nakuheshimu so naomba usijifananishe na sakala yule.
 
kwa kweli kura yangu ningempa Mzee mwanakijiji..
kwa sasa inakua ngumu, ila kwa hekima kidogo nlizonazo nitapiga kura!

Nami natangaza nia: Man of the year 2011
Nina imani si wingi wa comments that matters but the quality...watch this space!

Jina lako litakuhukumu.
Hatutakuwa tayari kukutambulisha kuwa wewe ndie Man of the year...badili jina
 
JEC bado inafanya tahmini ya mchakato wote na kura kisha itatangaza matokeo rasmi.
 
JEC bado inafanya tahmini ya mchakato wote na kura kisha itatangaza matokeo rasmi.
 
Malaria Sugu,
Nasikitika mpaka sasa umeshindwa kujitokeza ngaa kunijibu au hata ku acknowledge kuona ujumbe wangu- umenisikitisha sana hasa ukizingatia kashfa na matusi niliyoyapata kwa kukusifia kuwa unajua kazi yako ya propaganda.

Maadamu umeamua kuuchuna, basi naingia mtaani kukutafuta ili niweze kukubaini na unipe hiyo ''tuition'' ila ntakapokufehemu ntawajulisha members wote wewe ni nani- ushanifahamu hapo? Kufika Ijumaa jioni ntakuwa nshaposti jina na picha yako hapa...............hiyo picha yako ntakupiga utakapokuwa unatoka kwenye lifti pale PPF tower................

aisee mkuu umefanikiwa kumpata huyu mtu? let's not underestimate him/her jamani,
 
Proverbs 26: 4 Do not answer a fool according to his folly, or you yourself will be just like him.
 
Malaria Sugu,
Nasikitika mpaka sasa umeshindwa kujitokeza ngaa kunijibu au hata ku acknowledge kuona ujumbe wangu- umenisikitisha sana hasa ukizingatia kashfa na matusi niliyoyapata kwa kukusifia kuwa unajua kazi yako ya propaganda.

Maadamu umeamua kuuchuna, basi naingia mtaani kukutafuta ili niweze kukubaini na unipe hiyo ''tuition'' ila ntakapokufehemu ntawajulisha members wote wewe ni nani- ushanifahamu hapo? Kufika Ijumaa jioni ntakuwa nshaposti jina na picha yako hapa...............hiyo picha yako ntakupiga utakapokuwa unatoka kwenye lifti pale PPF tower................

Ze utamu ilianza kufa kama hivi........

Ukifika pale PPF tower muda wa saa 7 kila siku utamwona mwarabu fulani amefuga mijidevu,hana laptop bali anatumia blackbery. Ni mchafuchafu na ukimsemesha kiswahili anababaika kujibu kwani hakijui vizuri. Hapo utakuwa umekutana na MS.
 
MS hawa wote wana ku-miss, wanapenda mada zako na majibu yako na wanakuelewa hoja zako. Mie nakupa pongezi na hongera. Na kwa mara nyingine tena nasema: JF bila MS itakuwa haina ladha wala utamu.
 
Kwako Malaria Sugu,
Kwa kweli nimekuwa nikivutiwa sana na uwezo wako katika kukabiliana na hoja za wapinzani wako au niseme wachangiaji wasiokubaliana na hoja zako. Huna hasira, unajibu kwa kifupi na unajua kuanzisha mada chokonozi.

Kwa kweli MS umefuzu vema katika fani yako hii ya propaganda. Japo hoja zako zaweza kuwa sio sawa upande wangu lakini uwezo wako wa kuziwakilisha katika namna ya kukera na kuudhi unajimudu vilivyo.

Kwa kuwa mimi ni mwanajamvi ambaye bado ni ''learner'' sana nahitaji sana kujifunza mengi toka kwako, maana nataka unifundishe huo ujasiri (sio hoja zako). Sijui kutuma hiyo mnaita PM sijui.. kwa hiyo nakuomba unielekeza naweza kukuona vipi ana kwa ana. Au kama unaweza kunipatia namba yako ya simu. Kwa vile wewe unajua ku pm basi naomba kama hutapenda kunijibu hadharani ni pm basi ili tuonane mkuu.

Nimeweka hapa kwa vile najua ni watu wengi watapenda kufahamiana na wewe na kupata huo utaalmu wako wa propaganda
Hivi umetumia vigezo gani kumpa huyu MS hiyo title........???
 
MS hawa wote wana ku-miss, wanapenda mada zako na majibu yako na wanakuelewa hoja zako. Mie nakupa pongezi na hongera. Na kwa mara nyingine tena nasema: JF bila MS itakuwa haina ladha wala utamu.
Sishangai wewe kuandika hivi...........KWENYE WATOA PUMBA WA MWAKA ULISHIKA NAMBA 2 ......NYUMA YA MS
 
Treasures of wickedness profit nothing: but righteousness delivereth from death
Proverbs 10:2
 
Back
Top Bottom