Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
1.WOMAN OF SUBSTANCE...
2.FIDEL MARSHALL NDIYE ALIENISUKUMA KUJIUNGA NA JUKWAA HILI...INGAWA SIO MWAKA HUU
SO KWA WANAUME NITAMCHAGUA...NYANI NGABU..NAMPENDAGA ILA ANAPENDA MASIFA KAMA MUHAYA VILEE...LOL!!!:redfaces:

Mashallaaaaah binti Fabulousity!! Bichwa langu limeumuka maradufu....:A S crown-1::teeth:
Asante Fab:
WoS imekubalika na alishapendekezwa. Kwa hiyo ana kura mbili tayari.
NN & Field Marshal (Wazee Wa sauti Ya Umeme) unamchagua nani hasa? Bado haiko clear.
1.WOMAN OF SUBSTANCE...
2.FIDEL MARSHALL NDIYE ALIENISUKUMA KUJIUNGA NA JUKWAA HILI...INGAWA SIO MWAKA HUU
SO KWA WANAUME NITAMCHAGUA...NYANI NGABU..NAMPENDAGA ILA ANAPENDA MASIFA KAMA MUHAYA VILEE...LOL!!!:redfaces:
NN kwani kakupendekeza wewe au FM?
Wewe nawe nini bana....mwenzio keshasema ananipendekeza mimi kwa sababu ananipendaga....sasa wewe unaleta habari FMES tena...aaaagh
Hmmmm....huna uhakika na kipi sasa ZD? Jinsia yangu ama?
Mimi nadhani nita fit zaidi kwenye category ya JF Vanguard au Longevity award......:teeth:
Hakyanani kuna kila aina za ID zitaibuka safari hii.
ZD nitalifanyia kazi pendekezo lako.
NN hakukutumia PM umependekeze? Maana tayari alishasema kuna mtu atampendekeza.
Bila shaka pendekezo limekubalika.
Sina uhakika na jinsia yako,labda ujitambulishe ila nakupendekeza..
Nimetoa mapendekezo kadhaa.lipi utakalolifanyia kazi?
Kuhusu NN kutuma PM hapana,nimempendekeza kwa ridhaa yangu na nimetumia haki yangu ya kidemokrasia..
1.WOMAN OF SUBSTANCE...
2.FIDEL MARSHALL NDIYE ALIENISUKUMA KUJIUNGA NA JUKWAA HILI...INGAWA SIO MWAKA HUU
SO KWA WANAUME NITAMCHAGUA...NYANI NGABU..NAMPENDAGA ILA ANAPENDA MASIFA KAMA MUHAYA VILEE...LOL!!!:redfaces:
asante kwa kumuona WOS.
hapo kwa Ngabu hahaa ngoja nicheke kwanza,NYANI NGABU U R UNSTOPABLE mjomba.LOL

Basi ngoja twende PM tuongee vizuri na nijitambulishe kwanza kwako....
Huko ni kutafuta Takukuru.mie simo....uchaguzi huu ni huru na wa haki..
Hehehehehee.....girl I tell ya.....sometimes I wonder about myself too...[/QUOTE]
LOL,
Yaani mie nilikua namuwazia mtu mwingine kabisa ambaye ndiye nilikua na uhakika atakupendekeza lakini mara naona cjui Fab from no where akidondosha pendekezo.

Wanaonizimia wapo wengi ila ni wachache ambao hukiri hadharani....