Mkuu Superman napenda kuwapendekeza Pasco kwa wanaume na FistLady1 kwa wanawake.
-Uchaguzi wangu kwa Pasco ni kwa sababu amekuwa mtoaji habari muhimu na amekuwa anafuatilia kujibu post zake anapotakiwa kufanya hivyo.Nimemuweka katika kundi la Wanaume kwa sababu nafahamu jinsia yake.
-FirstLady1 naye nimevutiwa na uandishi na ushiriki wake katika thread nyingi,nimemchagua katika kundi la wanawake kutokana na Jina lake.Ataniwia radhi kama yeye ni mwanaume.
Kuna wanachama wengi navutiwa na post zao,lakini kwa sababu moja ama nyingine sikuona busara kuwachagua ktk kinyang'anyiro hichi.Watu hao ambao nawasoma mara kwa mara na uwepo wao hapa ni muhimu ni pamoja na Mwanakijiji,Nyani Ngabu,WOS,Mwanajamiione,Halisi pamoja na Dr Slaa.