JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
nampendekeza Kiranga, ana kiingereza cha darasa la nne
 
Kuna wanachama wengi navutiwa na post zao,lakini kwa sababu moja ama nyingine sikuona busara kuwachagua ktk kinyang'anyiro hichi.Watu hao ambao nawasoma mara kwa mara na uwepo wao hapa ni muhimu ni pamoja na Mwanakijiji,Nyani Ngabu,WOS,Mwanajamiione,Halisi pamoja na Dr Slaa.

Asante kwa kuwa na raghba ya kusoma mabandiko yangu....
 
Mkuu Superman napenda kuwapendekeza Pasco kwa wanaume na FistLady1 kwa wanawake.

-Uchaguzi wangu kwa Pasco ni kwa sababu amekuwa mtoaji habari muhimu na amekuwa anafuatilia kujibu post zake anapotakiwa kufanya hivyo.Nimemuweka katika kundi la Wanaume kwa sababu nafahamu jinsia yake.
-FirstLady1 naye nimevutiwa na uandishi na ushiriki wake katika thread nyingi,nimemchagua katika kundi la wanawake kutokana na Jina lake.Ataniwia radhi kama yeye ni mwanaume.

Kuna wanachama wengi navutiwa na post zao,lakini kwa sababu moja ama nyingine sikuona busara kuwachagua ktk kinyang'anyiro hichi.Watu hao ambao nawasoma mara kwa mara na uwepo wao hapa ni muhimu ni pamoja na Mwanakijiji,Nyani Ngabu,WOS,Mwanajamiione,Halisi pamoja na Dr Slaa.
Kwenye bold...hata mimi nawakubali. Huenda hao wanafaa wawe kwenye kinyang'anyiro kingine.
Kwa hapa napendekeza :
Wanawake - Belinda Jacob
Wanaume - Acid
 
Sina imani na Tume ya Uchaguzi kwani inataja neno 'kuchakachua'!
 
ugombea binafsi nao si umo? mimi ndo mani of ze year😛eace:
 
wakuu pamoja na overall pesonality of the year, napendekeza pawe na personalities za majukwaa mbalimbali
kwenye JF doctor tuna mzee wa mitishamba mzizimkavu - kumuacha ni kazi sana
Jukwaa la wakubwa kuna Ivuga na dadake maria
kwenye lugha hata sijui nani
siasa ni MMM, Dr Slaa, Mkandara, Waberoya, Zitto, na wengine wengi
Complaints - Dar es Salaam na Muganyizi
Sports - wapo wengi ila watu kama eqlypz, AW, nk
Uchaguzi - wengi sana tu ila invisible ndani
Business tuna akina malila mziba na kanyagio wakiendelea kuuza sera za kilimo
na akina tusker baridi wakiendelea kusaidia eneo la mawasiliano
kwenye mahusiano ndio usiseme kabisa kuna hadi kamati za utalii
nawakilisha
 
Duh!

Kumekucha; wapiga kura za maoni wameanza kujitokeza. Ngoja mapendekezo yanayokidhi vigezo yafanyiwe kazi.
 
wakuu pamoja na overall pesonality of the year, napendekeza pawe na personalities za majukwaa mbalimbali
kwenye JF doctor tuna mzee wa mitishamba mzizimkavu - kumuacha ni kazi sana
Jukwaa la wakubwa kuna Ivuga na dadake maria
kwenye lugha hata sijui nani
siasa ni MMM, Dr Slaa, Mkandara, Waberoya, Zitto, na wengine wengi
Complaints - Dar es Salaam na Muganyizi
Sports - wapo wengi ila watu kama eqlypz, AW, nk
Uchaguzi - wengi sana tu ila invisible ndani
Business tuna akina malila mziba na kanyagio wakiendelea kuuza sera za kilimo
na akina tusker baridi wakiendelea kusaidia eneo la mawasiliano
kwenye mahusiano ndio usiseme kabisa kuna hadi kamati za utalii
nawakilisha

good idea bro!
 
Tehe tehe teheeee mkuu mwongeze na KATAVI hapo! offcourse MS nae out

Aisee Samora10 mbona tunaharibiana ndugu yangu........................du kweli nimeamini ng'ombe wa masikini hazai na akizaa basi atazaa tasa.
 
Aisee Samora10 mbona tunaharibiana ndugu yangu........................du kweli nimeamini ng'ombe wa masikini hazai na akizaa basi atazaa tasa.

pole mwaya Katavi...
 
Sasa tutajuaje kama ni SHE au HE? Huu mchakato una walakini,labda Invizibo aongeze sehemu ya kujitambulisha kwanza....

mie namuunga mikono n amiguu binti Sayuni, maana gender identity is really an issue, and could be some a bi....
 
Back
Top Bottom