JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Mkuu Superman napenda kuwapendekeza Pasco kwa wanaume na FistLady1 kwa wanawake.

-Uchaguzi wangu kwa Pasco ni kwa sababu amekuwa mtoaji habari muhimu na amekuwa anafuatilia kujibu post zake anapotakiwa kufanya hivyo.Nimemuweka katika kundi la Wanaume kwa sababu nafahamu jinsia yake.
-FirstLady1 naye nimevutiwa na uandishi na ushiriki wake katika thread nyingi,nimemchagua katika kundi la wanawake kutokana na Jina lake.Ataniwia radhi kama yeye ni mwanaume.

Kuna wanachama wengi navutiwa na post zao,lakini kwa sababu moja ama nyingine sikuona busara kuwachagua ktk kinyang'anyiro hichi.Watu hao ambao nawasoma mara kwa mara na uwepo wao hapa ni muhimu ni pamoja na Mwanakijiji,Nyani Ngabu,WOS,Mwanajamiione,Halisi pamoja na Dr Slaa.

Asante Mwawado; wote wanakubalika:

PASCO:

otal Posts
Total Posts 3,350
Posts Per Day 4.19
User Notes
Post a User Note
Total Thanks
Total Thanks3,315
Thanked 2,815 Times in 1,034 Posts
General Information
Last Activity Today 07:06 PM
Current Activity Searching Forums
Join Date 22nd September 2008

Threads zake: https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2753876

FIRSTLADY1:

Statistics
Total Posts
Total Posts 9,410
Posts Per Day 19.19
Visitor Messages
Total Messages 137
Most Recent Message Today
Visitor Messages for FirstLady1
Post a visitor message for FirstLady1
User Notes
Post a User Note
Total Thanks
Total Thanks2,287
Thanked 3,456 Times in 2,252 Posts
General Information
Last Activity Today 05:28 PM
Current Activity Viewing User Profile
Join Date 29th July 200

Threads zake: https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2753915
 
Allow me to nominate W.J Malechela, he provokes and promotes constructive thinking in a positive way, for ladies I go for Regia Mtema, she contributes positively in dialogues without losing focus that most of us have of recent embraced of dead vendettas
 
Allow me to nominate WJ malecela, he provokes and promote constructive critisism(sp) in a positive way, also Regia Mtema who actively engages in healthy dialogues , dissectin facts n not personal vendettas
 

Mkandara inakubalika: Details zake ni hizi:

Statistics
Total Posts
Total Posts 8,714
Posts Per Day 5.02
Visitor Messages
Total Messages 18
Most Recent Message 22nd September 2010
Visitor Messages for Mkandara
Post a visitor message for Mkandara
User Notes
Post a User Note
Total Thanks
Total Thanks1,568
Thanked 2,439 Times in 1,073 Posts
General Information
Last Activity Today 04:53 PM
Join Date 3rd March 2006

Threads zake: https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2755202
 
nampendekeza Kiranga, ana kiingereza cha darasa la nne

Kiranga anakubalika. Kiingreza chake nawaachia wenyewe mnajuana. Details zake ni:

Statistics
Total Posts
Total Posts 4,690
Posts Per Day 6.99
User Notes
Post a User Note
Total Thanks
Total Thanks269
Thanked 2,795 Times in 1,404 Posts
General Information
Last Activity Today 11:16 PM
Join Date 29th January 2009

Started Threads: https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2755298
 
Kwenye bold...hata mimi nawakubali. Huenda hao wanafaa wawe kwenye kinyang'anyiro kingine.
Kwa hapa napendekeza :
Wanawake - Belinda Jacob
Wanaume - Acid

Asante sana. Acid alishapendekezwa na kura zake zinaongezeka.

Belinda Jacob anakubalika. Details zake ni:

Statistics
Total Posts
Total Posts 2,235
Posts Per Day 3.03
User Notes
Total User Notes 1
Most Recent User Note 13th January 2010 04:34 PM
User Notes for BelindaJacob
Post a User Note
Total Thanks
Total Thanks674
Thanked 463 Times in 348 Posts
General Information
Join Date 24th November 2008

Threads zake ni: https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2755337
 
Sina imani na Tume ya Uchaguzi kwani inataja neno 'kuchakachua'!


Habari ndo hiyo Mkuu. Hakuna Kivuitu wala Makame hapa. Ni ukweli na uwazi tu. JCCB wako kazini.

Invisible, endelea kufanya kazi nzuri hadi zoezi likamilike kwa amani na utulivu. Hadi sasa hatujapokea malalamiko yoyote, kitu kinachoonyesha kuwa Uchaguzi huu ni Huru na wa Haki.
 
ugombea binafsi nao si umo? mimi ndo mani of ze year😛eace:

Wagombea binafsi Katiba hairuhusu labda mpaka iandikwe katiba mpya. Wala kampeni za ku-PM mtu akupendekeze haziruhusiwi. Atakayepatikana jina lake litakatwa katika kura hizi za maoni.
 
Allow me to nominate W.J Malechela, he provokes and promotes constructive thinking in a positive way, for ladies I go for Regia Mtema, she contributes positively in dialogues without losing focus that most of us have of recent embraced of dead vendettas

Malecela
 
wakuu pamoja na overall pesonality of the year, napendekeza pawe na personalities za majukwaa mbalimbali
kwenye JF doctor tuna mzee wa mitishamba mzizimkavu - kumuacha ni kazi sana
Jukwaa la wakubwa kuna Ivuga na dadake maria
kwenye lugha hata sijui nani
siasa ni MMM, Dr Slaa, Mkandara, Waberoya, Zitto, na wengine wengi
Complaints - Dar es Salaam na Muganyizi
Sports - wapo wengi ila watu kama eqlypz, AW, nk
Uchaguzi - wengi sana tu ila invisible ndani
Business tuna akina malila mziba na kanyagio wakiendelea kuuza sera za kilimo
na akina tusker baridi wakiendelea kusaidia eneo la mawasiliano
kwenye mahusiano ndio usiseme kabisa kuna hadi kamati za utalii
nawakilisha

Mkuu Acid pendekezo lako ni zuri sana na linakubalika. Kwa sasa tume ya uchaguzi yaani JamiiForums Electoral Commission (JEC) haina rasilimali na vitendea kazi za kutosha. Hakika washindi wa majukwaa wanatakiwa wawe kama wabunge wa majukwaa.

Nadhani tukimaliza hili tushaurine njia nzuri za kuwapata washindi wa majukwaa.
 
Aisee Samora10 mbona tunaharibiana ndugu yangu........................du kweli nimeamini ng'ombe wa masikini hazai na akizaa basi atazaa tasa.


tehe! mkuu nothing personal there
 
nakupendekeza ww mtoa mada superman

Asante sana Pearl kwa kunipendekeza. Sheria zetu za Uchaguzi haziruhusu Makamisaa wagombee nafasi yoyote. Ili liwezekana inabidi nijitoe kwanza katika tume ili uchaguzi uwe huru na wa haki.

Kama tulivyosema, hatutaki kujenga mazingira ya kura kuchakachuliwa.
 
Allow me to nominate W.J Malechela, he provokes and promotes constructive thinking in a positive way, for ladies I go for Regia Mtema, she contributes positively in dialogues without losing focus that most of us have of recent embraced of dead vendettas

Asante Nsiande. Wote wanakubalika.

Haya Bill, kipindi cha neema hiki. Details za Malecela ni:

otal Posts
Total Posts 728
Posts Per Day 1.16
User Notes
Post a User Note
Total Thanks
Total Thanks126
Thanked 232 Times in 96 Posts
General Information
Last Activity Today 04:43 AM
Join Date 15th March 2009

Threads zake ni: https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2755503
 
Allow me to nominate WJ malecela, he provokes and promote constructive critisism(sp) in a positive way, also Regia Mtema who actively engages in healthy dialogues , dissectin facts n not personal vendettas

Regia Mtema (Mbunge); details zake ni:

Statistics
Total Posts
Total Posts 2,697
Posts Per Day 7.18
Visitor Messages
Total Messages 6
Most Recent Message 20th August 2010
Visitor Messages for Regia Mtema
Post a visitor message for Regia Mtema
User Notes
Post a User Note
Total Thanks
Total Thanks1,616
Thanked 1,855 Times in 803 Posts
General Information
Last Activity 28th November 2010 10:44 PM
Join Date 21st November 2009

Threads zake ni: https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2755528
 
Well kwa wanaume napendekeza wafuatao NYANI NGABU, WABEROYA, KIRANGA,ACID, REV.KISHOKA, MWANAKIJIJI na kwa wanawake napendekeza MWANAJAMIIONE
 
Back
Top Bottom