Baba Sharon
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 372
- 253
Nampendekeza Mwanakijiji kwa upande wa Men he is such a smart guy.Nimekuwa nikifatilia thread zake anafahamu anachokiandika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampendekeza Mwanakijiji kwa upande wa Men he is such a smart guy.Nimekuwa nikifatilia thread zake anafahamu anachokiandika.
Good idea Mkuu.
Sasa unashauri nini as Way Forward?
Badili vigezo!
Au wanajamii wenyewe watoe mchongo wao wa vigezo.
Orait ngoja katika hayo majina hayo 6 nichambue moja
Bujibuji (Go to all started threads)
halafu wewe......... basi tu hivi vi glock havipenyi kwenye laputopuNapendekeza
Acid
FIRSTLADY1:
Statistics
Total Posts
Total Posts 9,410
Posts Per Day 19.19
Visitor Messages
Total Messages 137
Most Recent Message Today
Visitor Messages for FirstLady1
Post a visitor message for FirstLady1
User Notes
Post a User Note
Total Thanks
Total Thanks2,287
Thanked 3,456 Times in 2,252 Posts
General Information
Last Activity Today 05:28 PM
Current Activity Viewing User Profile
Join Date 29th July 200
Threads zake: https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=2753915
santo umekua adimu sana.....sijui nini kimekukuta wakati tulikua tunafaidika sana na hoja zakoNaomba nitoe ahadi kwamba kwa atakayeshinda niko tayari kuchangia shillingi laki moja (TZS 100,000). Zikitakiwa waweza kuzifikisha uongozi wa JF.
Kama hakutakuwa na nomination mpya au hata za kurudia majina, nashauri tufunge zoezi siku ya Ijumaa saa 6.00 usiku (EA Time).
Naomba kutoa hoja.
Du uamuzi wa Tume ya JEC ni wa mwisho hata JF?inabidi nifanye maandamano ya kubadili katiba ya JF bana kwanini uamuzi wa JEC uwe wa mwisho siwezi kwenda mahakamani arrrghWanajamii;
Mwaka Jana 2009 tulifanya mchakato wa kumpata JF SuperLady & Celebrity of 2009.
Mchakato wote mpaka mshindi kupatikana unaweza kuupitia hapa:
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/91605-man-of-the-year-2010-a.html
Mshindi wa 2009 alikuwa ni "Woman Of Substance" ambaye anategemewa kukabidhi taji lake kwa JF Woman of the Year 2010.
Mwaka huu tunataka kuuboresha mchakato huu na tunapenda kupitia mchakato huu kupata washiriki wengi na kuipa taswira JF kuwa kuna watu wanafanya mambo makubwa.
Mwaka huu 2010 tunafanya mchakato wa kumpata JF WOMAN OF THE YEAR 2010 na pia JF MAN OF THE YEAR 2010.
Katika mchakato wa awali tutapendekeza majina mbalimbali katika kila category, na baada ya kupitia post zote za mapendekezo tutachagua watatu kutoka katika kila category na kisha kuwapambanisha kupitia JF POLLS. Mwaka huu napendekeza tutoe zawadi yenye hadhi fulani kwa washindi ili kutoa changamoto za umakini katika mabandiko haba jamvini. Tutajulishana zawadi hizi tutakapoingia katika mchakato wa Kupiga kura.
Vigezo vifuatavyo vizingatiwe katika kutoa mapendekezo ya watakaoshindanishwa katika hizi KURA ZA MAONI:
1. Kama ni category ya WOMAN lazima uwe umemdhania kuwa unayempendekeza ni Mwanamke na una ushahidi wa Kimazingira. katika hali ya mashaka, uhakikisho wa jinsia kutoka kwa muhusika aliyependekezwa utafanya akubalike. Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Shindano hili utakuwa ni Final. wote mnahakikishiwa hakutakuwa na Uchakachuaji.
2. Kama ni category ya MAN lazima uwe umemdhania kuwa unayempendekeza ni Mwanaume na una ushahidi wa Kimazingira. katika hali ya mashaka, uhakikisho wa jinsia kutoka kwa muhusika aliyependekezwa utafanya akubalike.
Katika 1 na 2: Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) wa Shindano hili utakuwa ni Final. wote mnahakikishiwa hakutakuwa na Uchakachuaji.
3. Anayependekezwa lazima kuwe na ushahidi unaoonyesha kuwa ni Mwana JF aliyebobea hasa kutokana na Threads alizozianzisha na pia post alizozianzisha. Vyote lazima viwe na impact chanya kwa wasomaji wa JF
4. Awe ni mwenye uwezo wa kusimamia hoja zake na kuzijibu kikamilifu bila jazba na kwa umahiri wa hali ya juu pale ambapo anapata challenge toka kwa wachangiaji.
5. Awe ni mwenye ushawishi wa hali ya juu katika mabandiko anyochangia walau kwa muonekano wa wachangiaji kuunga mkono hoja zake.
6. Asibobee kwenye Jukwaa moja tu. Walau awe mchangiaji mzuri wa majukwaa yasiyopungua matatu
7. Asiwe mtu wa shari katika majibizano kiasi cha kupelekea Mods kumpa "BAN".
8. Aonekane wazi katika mabandiko yake anaweza akahisiwa kuwa Kiongozi Mzuri.
9. Awe Mchangiaji ambaye ni active walau mara moja kwa wiki. Ikiwa zaidi ni vizuri zaidi.
10. Awe ni mtu asiyeogopa kukemea mabandiko yenye lengo la kutukana, kudhalilisha, kubagua, kuleta mfarakano na kutokuelewana baina ya wanachama wa JF.
Sasa kila moja yuko huru kutoa mapendekezo yake ya nani wanastahili kuingia katika tatu bora katika kila category.
Nashauri kuwa mapendekezo ya majina yaambatane na maelezo mafupi.
Uwanja ni wenu. Karibuni.
Du uamuzi wa Tume ya JEC ni wa mwisho hata JF?inabidi nifanye maandamano ya kubadili katiba ya JF bana kwanini uamuzi wa JEC uwe wa mwisho siwezi kwenda mahakamani arrrgh
Mie nampendekeza Maria Roza kwa wadada na mume wake Ivuga kwa wakaka lol.
Mie nampendekeza Maria Roza kwa wadada na mume wake Ivuga kwa wakaka lol.
thread hii mbona ina wachangiaji weng kuliko ile Invisible _inayoelezea kuwajibika kuchangia gharama za uendeshaji? Ama kweli wabongo tumekaa kisherehe sherehe
thread hii mbona ina wachangiaji weng kuliko ile Invisible _inayoelezea kuwajibika kuchangia gharama za uendeshaji? Ama kweli wabongo tumekaa kisherehe sherehe