JF Woman and Man of The Year 2010: Mchakato Wa Kuwapata

Ni Nani Anafaa Kuwa "JF Man of the Year 2010"?

  • Acid

    Votes: 23 40.4%
  • Kiranga

    Votes: 12 21.1%
  • Nyani Ngabu

    Votes: 22 38.6%

  • Total voters
    57
  • Poll closed .
Wakati wowote kuanzia sasa JEC itatoa uamuzi juu ya pingamizi la TANMO dhidi ya NN.
 
UAMUZI YA TUME YA UCHAGUZI YA JAMIIFORUMS (Jamiiforums Electoral Commission JEC) KWA PINGAMIZI LILILOWEKWA NA TANMO THIDI YA NYANI NGABU KUWA MGOMBEA WA NAFASI YA JF MAN OF THE YEAR 2010.

Utangulizi:

Tarehe 30-Novemba-2010 JEC ilitangaza mchakato wa kumpata JF Woman and Man of The Year 2010: Thread ya mchakato huu inapatikana https://www.jamiiforums.com/celebri...-of-the-year-2010-mchakato-wa-kuwapata-4.html na hili hapa chini lilikuwa ni tangazo au post yake:

Wanajamii;

Mwaka Jana 2009 tulifanya mchakato wa kumpata JF SuperLady & Celebrity of 2009.

Mchakato wote mpaka mshindi kupatikana unaweza kuupitia hapa:

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/91605-man-of-the-year-2010-a.html

Mshindi wa 2009 alikuwa ni "Woman Of Substance" ambaye anategemewa kukabidhi taji lake kwa JF Woman of the Year 2010.

Mwaka huu tunataka kuuboresha mchakato huu na tunapenda kupitia mchakato huu kupata washiriki wengi na kuipa taswira JF kuwa kuna watu wanafanya mambo makubwa.

Mwaka huu 2010 tunafanya mchakato wa kumpata JF WOMAN OF THE YEAR 2010 na pia JF MAN OF THE YEAR 2010.

Katika mchakato wa awali tutapendekeza majina mbalimbali katika kila category, na baada ya kupitia post zote za mapendekezo tutachagua watatu kutoka katika kila category na kisha kuwapambanisha kupitia JF POLLS. Mwaka huu napendekeza tutoe zawadi yenye hadhi fulani kwa washindi ili kutoa changamoto za umakini katika mabandiko haba jamvini. Tutajulishana zawadi hizi tutakapoingia katika mchakato wa Kupiga kura.

Vigezo vifuatavyo vizingatiwe katika kutoa mapendekezo ya watakaoshindanishwa katika hizi KURA ZA MAONI:

1. Kama ni category ya WOMAN lazima uwe umemdhania kuwa unayempendekeza ni Mwanamke na una ushahidi wa Kimazingira. katika hali ya mashaka, uhakikisho wa jinsia kutoka kwa muhusika aliyependekezwa utafanya akubalike. Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Shindano hili utakuwa ni Final. wote mnahakikishiwa hakutakuwa na Uchakachuaji.

2. Kama ni category ya MAN lazima uwe umemdhania kuwa unayempendekeza ni Mwanaume na una ushahidi wa Kimazingira. katika hali ya mashaka, uhakikisho wa jinsia kutoka kwa muhusika aliyependekezwa utafanya akubalike.

Katika 1 na 2: Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) wa Shindano hili utakuwa ni Final. wote mnahakikishiwa hakutakuwa na Uchakachuaji.

3. Anayependekezwa lazima kuwe na ushahidi unaoonyesha kuwa ni Mwana JF aliyebobea hasa kutokana na Threads alizozianzisha na pia post alizozianzisha. Vyote lazima viwe na impact chanya kwa wasomaji wa JF

4. Awe ni mwenye uwezo wa kusimamia hoja zake na kuzijibu kikamilifu bila jazba na kwa umahiri wa hali ya juu pale ambapo anapata challenge toka kwa wachangiaji.

5. Awe ni mwenye ushawishi wa hali ya juu katika mabandiko anyochangia walau kwa muonekano wa wachangiaji kuunga mkono hoja zake.

6. Asibobee kwenye Jukwaa moja tu. Walau awe mchangiaji mzuri wa majukwaa yasiyopungua matatu

7. Asiwe mtu wa shari katika majibizano kiasi cha kupelekea Mods kumpa "BAN".

8. Aonekane wazi katika mabandiko yake anaweza akahisiwa kuwa Kiongozi Mzuri.

9. Awe Mchangiaji ambaye ni active walau mara moja kwa wiki. Ikiwa zaidi ni vizuri zaidi.

10. Awe ni mtu asiyeogopa kukemea mabandiko yenye lengo la kutukana, kudhalilisha, kubagua, kuleta mfarakano na kutokuelewana baina ya wanachama wa JF.

Sasa kila moja yuko huru kutoa mapendekezo yake ya nani wanastahili kuingia katika tatu bora katika kila category.

Nashauri kuwa mapendekezo ya majina yaambatane na maelezo mafupi.

Uwanja ni wenu. Karibuni.
------------------------------------------------------------
UPDATE 1:

Mchakato wa Kupata mapendekezo ya Majina ya wana JF watakaoingia katika king'ang'anyiro cha kumtafuta JF Man of the Year 2010 and JF Woman of the Year 2010 umeshakamilika. Kura za maoni zimefungwa rasmi Ijumaa 3-12-2010 Saa 6.00 Usiku na matokeo ya waliokuwa nominated nayatoa kama yalivyopendekezwa:

Waliopendekezwa kugombania taji la JF MAN OF THE YEAR 2010 ni:

1. JS - Kura 1
2. Acid - Kura 2
3. Kiranga - Kura 2
4. Mwanakijiji - Kura 2
5. Nyani Ngabu - Kura 3
6. Pasco - Kura 1
7. Mkandara - Kura 1
8. Superman - Kura 1 (Aliomba ajitoe mwanzoni kwani yuko JEC)
9. Malecela - Kura 1
10. Ivuga - Kura 1

Waliopendekezwa kugombania taji la JF WOMAN OF THE YEAR 2010 ni:

1. Regia Mtema - Kura 2
2. Gaijin - Kura 2
3. Woman of Substance - Kura 2
4. First Lady - Kura 1
5. Belinda Jacob - Kura 1
6. Maria Roza - Kura 1

Kura Zilizoharibika:

1. BujiBuji - Kura 1 (Haikutaja category)

Majina yafuatayo, yamepitishwa na JEC kuingia rasmi kaatika POLLS za kutafuta JF MAN OF THE YEAR 2010 ni:

1. Acid - Kura 2
2. Kiranga - Kura 2
3. Mwanakijiji - Kura 2
4. Nyani Ngabu - Kura 3

Majina yafuatayo, yamepitishwa na JEC kuingia rasmi kaatika POLLS za kutafuta JF WOMAN OF THE YEAR 2010 ni:

1. Regia Mtema - Kura 2
2. Gaijin - Kura 2
3. Woman of Substance - Kura 2

Thread Maalumu itafunguliwa sasa ili kuweza kuwapigia kura waliotajwa.

Asanteni wale wote mliotumia haki yenu ya kikatiba kupiga kura za maoni.

Mapendekezo ya Awali:

Katika Mchakato huo, wadau walitakiwa wamependekeze majina kwa kuzingatia vigezo. Mpaka wakati thread hii inafungwa na majina yaliyopendekezwa kuorodheshwa, JEC haikupokea malalamiko wala pingamizi lolote dhidi ya mgombea yeyote.

Baada ya mafanikio ya mapendekezo ya wagombea, mchujo ulifanya kwa kuchukua waliopata kura nyingi za mapendekezo ili hatimaye wapigiwe kura. "JF Woman" walipatikana 3 na "JF Man" walipatikana 4 (kuna wawili walifungana). Hatimaye Tarehe 4-December-2010 Thread ya kuwapigia kura wagombea (Kwa upande wa Wanaume) ikanzishwa na JEC kama ilivyoainishwa hapa: https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/93052-man-of-the-year-2010-piga-kura-yako.html. Nainukuu:

Mwaliko wa Kupiga Kura

Wanabaraza na Wana Jamii Forums;

Tume ya Uchaguzi ya JamiiForums (JEC) inapendekeza kwanza upitie thread ifuatayo ili kuweza kupata mchakato wa hapa tulipofika:

https://www.jamiiforums.com/celebri...-of-the-year-2010-mchakato-wa-kuwapata-4.html

POLL inayofanyika sasa ni kwa ajili ya kumpata JF WOMAN OF THE YEAR 2010 na pia JF MAN OF THE YEAR 2010.

Zawadi zitatolewa kwa mshindi wa kila Category.

Katika POLL hii inafanyika baada ya Wadau wa JF kupendekeza majina mbalimbali katika kila category, na baada ya kupitia post zote za mapendekezo JEC imechagua wale watatu wa mwanzo waliopata kura nyingi kutoka katika kila category (MAN Category kura zilifungana, kwa hiyo wako 4). Washindi hawa wa kura za maoni sasa tunawapambanisha kupitia upigaji kura yaani JF POLL.

Mwaka huu tofauti na mwakajana itatolewa zawadi yenye hadhi fulani kwa washindi ili kutoa changamoto za umakini katika mabandiko haba jamvini. Tutajulishana zawadi hizi mara tu washindi watakapopatikana baada ya mchakato wa Kupiga kura.

Vigezo vifuatavyo vizingatiwe katika kupiga kura yako:

1. Unayempigia kura awe ni Mwana JF aliyebobea hasa kutokana na Threads alizozianzisha na pia post alizozianzisha. Vyote lazima viwe na impact chanya kwa wasomaji wa JF

2. Awe ni mwenye uwezo wa kusimamia hoja zake na kuzijibu kikamilifu bila jazba na kwa umahiri wa hali ya juu pale ambapo anapata challenge toka kwa wachangiaji.

3. Awe ni mwenye ushawishi wa hali ya juu katika mabandiko anyochangia walau kwa muonekano wa wachangiaji kuunga mkono hoja zake.

4. Asibobee kwenye Jukwaa moja tu. Walau awe mchangiaji mzuri wa majukwaa yasiyopungua matatu

5. Asiwe mtu wa shari katika majibizano kiasi cha kupelekea Mods kumpa "BAN".

6. Aonekane wazi katika mabandiko yake anaweza akahisiwa kuwa Kiongozi Mzuri.

7. Awe Mchangiaji ambaye ni active walau mara moja kwa wiki. Ikiwa zaidi ni vizuri zaidi.

8. Awe ni mtu asiyeogopa kukemea mabandiko yenye lengo la kutukana, kudhalilisha, kubagua, kuleta mfarakano na kutokuelewana baina ya wanachama wa JF.

UPIGAJI KURA:

Mchakato wa Kupiga kura za kumpata JF Man of the Year 2010 and JF Woman of the Year 2010 umeshakamilika. Kura za maoni zimefungwa rasmi Ijumaa 3-12-2010 Saa 6.00 Usiku. Sasa kura zinapigwa kwa wafuatao ambao wamepita katika kura za maoni:

Chagua moja kati ya majina yafuatayo ambayo yamepitishwa na JEC kuingia rasmi kaatika POLL ya kutafuta JF MAN OF THE YEAR 2010:

1. Acid - Kura 2
2. Kiranga - Kura 2
3. Mwanakijiji - Kura 2
4. Nyani Ngabu - Kura 3

Pia katika Thread nyingine tofauti; Chagua moja kati ya majina yafuatayo ambayo yamepitishwa na JEC kuingia rasmi kaatika POLL ya kutafuta JF WOMAN OF THE YEAR 2010:

1. Regia Mtema - Kura 2
2. Gaijin - Kura 2
3. Woman of Substance - Kura 2

Wote mnahimizwa kutumia haki yenu ya kikatiba kwa kumpigia kura mgombea unayedhani amekidhi matarajio yako.

Maoni yanakaribishwa kuelezea sababu la chaguo lako na maoni menine ya kujenga.

Pingamizi la TANMO dhidi ya Nyani Ngabu:

Hata hivyo siku hiyo hiyo TANMO aliwakilisha JEC pingamizi lake kuwa Nyani Ngabu aondolewa katika kugombea kama alivyojieleza hapa chini:

Mkuu mwenyekiti wa JEC, naomba vigezo nilivyoviainisha hapo juu vitumike kuengua jina la NYANI NGABU kwa sababu huyu Bwana: ni mshari, mkorofi, mbabe, ana dharau na mara nyingi husababisha migongano humu ndani kiasi cha kupelekea kupewa BAN (Mheshimiwa Roboti anihukumu kama hajawahi kutoa Ban kwa huyu Bwana)...
Binafsi alishawahi kunitukana na kunidhalilisha kwenye post moja kwa kukosea kuandika kiingereza fasaha hali iliyonifanya nikashindwa hata kutekeleza majukumu yangu ya siku hiyo kutokana na mfadhaiko nilioupata. Kuona NYANI NGABU akipewa sifa za ushiriki wa JF Man of the Year ilhali kuna watu ambao kwa namna moja au nyingine walishawahi kuathirika kutokana na kauli na kejeli zake ni kuikosea heshima jamii ya Wana-JF hao ambao wanaamini kuwa JF ni mahali pa kusaidiana na kuelimishana na siyo kudhalilishana...
JF man of the Year ni shindano ambalo kwa imani yangu litapelekea baadhi ya wana-JF kuiga matendo na kauli za washiriki kwa imani kuwa hao ndiyo vioo vya jamii ya JF ili mwakani nao waweze kushiriki hili shindano kwa kuiga yale yaliyosemwa, yanayosemwa na yatakayosemwa na hawa washiriki. Je kutoka kwa NYANI NGABU tuige/tujifunze jinsi ya kudharau? Kukejeli? Kutukana? Kudhalilisha wengine? Kujisifu hata kwa mambo yasiyo na msingi?
Nitafurahi iwapo mchakato huu utakuwa huru na wa haki kwa kuzingatia misingi yote ya Demokrasia ikiwa ni pamoja na wengi wape na pia wachache waheshimiwe "Majority rule and minority right".. Na kwa kuzingatia hilo basi nitashukuru kusikia kauli yako Mheshimiwa Mwenyekiti wa JEC pamoja na utekelezaji wa niliyoyaainisha kwa manufaa ya JF pamoja na wana_JF wote popote walipo.. Pamoja na yote aliyowahi kunitendea huyu Bwana naomba niweke wazi kuwa sina chuki naye bali nimeamua kuanika wazi mambo yake ili jamii ya wana-JF iweze kuelewa ukweli na kufanya maamuzi ya busara katika harakati hizi za kumpata JF Man of Year 2010.
Nashukuru kwa kunielewa.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Jamii Forums.

TANMO - Tanzania Ni Moja

Wito wa JEC kwa Nyani Ngabu Kujitetea

kufuatia pingamizi hili na kwa kufuata kanuni za JEC za uchaguzi, JEC ilimtaka Nyani Ngabu atoe utetezi wake na ikampatia siku tatu kuuwakilisha. Hata hivyo hadi mwisho wa siku tatu, Nyani Ngabu hakuwa amewakilisha utetezi wake na hivyo kuilazimu Tume kuketi na kutoa uamuzi kwa mujibu wa kanuni na sheria za uchaguzi.

Uamuzi wa Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC)

Baada ya kupitia malalamiko na pingamizi al TANMO tume imeamua yafuatayo:

1. Nyani Ngabu alipendekezwa kihalali na mpaka mchakato wa mapendekezo ulipomalizika hakukuwa na pingamizi lolote dhidi yake na hivyo kumfanya awe na sifa ya kuingia katika kugombea.

2. Pingamizi la TANMO katika hatua ya kugombea ni la msingi. Hata hivyo limejaa ushahidi ambao kama ungetolewa katika mchakato wa awali JEC ingmuengua. Hata hivyo ushahidi uliotolewa ni wa nje ya thread hii ya uchaguzi kitu ambacho kimefanya tume isione nguvu yake ya kisheria ingawa ni la msingi.

3. Nyani Ngabu ameshindwa kuwakilisha utetezi wake JEC dhidi ya pingamizi alilowekewa. Kwa mujibu wa taratibu hilo ni kosa. JEC inampa "ONYO KALI" Nyani Ngabu kuwa kama atarudia tena kosa kama hilo JEC haitasita kumchukulia hatua za kisheria na kinidhamu ikiwa ni pamoja na kumuengua.

4. Pia JEC inamtahadharisha NYANI NGABU kuzingatia vigezo vya Uchaguzi na kuwa kama atabainikia kukivunja kigezo chochote kati ya vilivyoainishwa, basi ataondolewa mara moja katika Uchaguzi.

5. Tume pia inawatahadharisha wagombe wote kuzingatia vigezo, kanuni na sheria za JF. Yeyote atakayebainika kwenda kinyume atachukuliwa hatua kali. Kama atakuwa ni mshindi na ikaja kujulikana baadaye amevunja vigezo vay msingi, basi ushindi wake utanyang'anywa na kupewa anayefuatia.

Mtampaje onyo kabla ya NN kujitetea? Onyo linaji-base kwa upande mmoja tu wa mshtaki? Je kama mshtaki anasema uwongo? Mi nadhani mngesubiri (mngemwongezea muda) NN mpaka aje hapa jamvini na kusema kitu. Kujitetea ni jambo muhimu kabla ya kumhukumu mtu.
 
NN amepewa muda wa kutosha kama sheria inavyotaka lakini amekataa. Ameshaona post za kumtaka ajitetee na kakumbushwa pia lakini hajataka kufanya hivyo.

Uchaguzi huu unaendeshwa kwa misingi ya sheria.
 
Mkiti, hapo hapo kipengele cha pili, Ngabu pia anweza kuwa ametumia kama kigezo cha kutojitete maana hapakuwa/hakuna madhara yoyot maana tuhuma zimetolewa mchakato ushapita .
Kwa mtazamo wangu Ngabu kumbe aliona mbali ndo maana aliamua kukaa kimya.
 
Duh! Jamaa pamoja na kuingia mitini bado kapeta?
Haya Bana, yale yale kama NEC taifa vile.

Nitatoa tamko langu muda wowote kuanzia sasa baada ya kupata msimamo huu wa JEC.
Ngoja nipekue pekue makabrasha yangu hapa..
 
Kweli ngoma nzito.

Hawa akina dada wanakwenda sambamba.
 
Kweli ngoma nzito.

Hawa akina dada wanakwenda sambamba.

Ebu fungua tuone wapiga kura .kwa nini unaficha?

Hii JEC haina standards .leo tunaona mchanganuo wa majina yaliyopiga kura kesho hatuoni. Why???!!!!!!!

isije ikawa kuna mtu kapata 40% ya kura zake kutoka na watu waliojiunga NOV or Dember 2010.
 
Uchaguzi huu una walakini kwa kuwa members wa Jf hawakupiga kura. Hapa inaokena ata 1%ya wanaJF haikufika ktk kupiga kura. Nadhani hapakuwa either muda wa kutosha wanaJF kulijua ili au elimu ndogo kwa mpiga kura kuhusu vigezo husika. Hata ivo,nasubiri uchaguzi uishe niweze kupeleka malalamiko yangu kwa Operators ili chaguzi zijazo ziwe na VIGEZO vinavoendana. Uchaguzi mwema.
 
Kwa hizo tuhuma NN keshapata dosari na atashinda hiyo nafasi akiwa na dosari. Kwa nchi za wenzetu kiongozi anahojiwa hata mambo aliyofanya siku za nyuma na ni busara kwake kukiri madhaifu ili kupunguza mjadala. Bila yeye kukiri bado kutokana na shutuma alizopelekewa ni mchafu na kwa sababu kwa yeye mwenyewe kuto respond anajua hawezi takata hapa jamvini, hakuna awezaye kwa niaba yake. Kura yangu ni ya thamani, haiendi kwa mtu mchafu!
 
Mkuu Superman umepitia sheria hizo za JEC?

Kama kuna kifungu kinambana NN mwite ajitetee ili wapiga kura waweze kujiridhisha na shindano.
 
Kugoma kujitetea (japo hata kwa sababu za uongo uongo) ni kosa na inadhihirisha ''kiburi na dharau'' kama ilivyoainishwa na TANMO.

Superman na wenzake wameamua bora liende tu baada ya Mwanakijiji kuomba kujitoa, hawa watu hawapo tayari sasa kuona NN nae anatolewa/anajitoa kwenye mtanange huu.

Nawatakia uchaguzi mwema wa ''JF Man of the year 2010''
 
MMECHAKACHUA hii iweje FirstLady akose katika kundi la akina dada / Mama. Ana sifa zote zilizowekwa hapo juu
 
Back
Top Bottom