JF X-Mass and Happy New Year wishes

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,307
Reaction score
3,437
Jf ni kama familia, muda mwingine tuna hitilafiana, muda mwingine tunakejeliana, muda mwingine tuna taniana, tunapeana ushauri na wengine wameenda adi next level wakawa wapenzi

Naomba tusameehane wote nilio wakosea au walio nikosea na tumalize mwaka na kuanza mwaka mpya kwa amani na upendo

NAWATAKIA HERI YA KRISIMASI NA MWAKA MPYA WANAFAMILIA WOTE WA JAMIIFORUMS

[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]

Haya, mtakie heri mwana Jf yoyote unae mhusudu, au unae mkubali hoja zake.... Kama hujaona basi mtakie heri huyo mtu wa mwisho ulio chati na PM
 
Fundamental physical quantity..
Time
.SI-Unit of time
Second,Minutes,Hours,Days,Weeks,Months,Years

Time is illusion, Virtual reality
Time ni kitu kilichobuniwa na mwanadamu,manmade..

Time is relative, Hakuna aliye nje au ndani ya muda..naweza chelewa kufanya kitu kwasababu wengine waliwahi pia naweza wahi kufanya kitu kwakua wengine walichelewa. Kwa mantiki hiyo usimwambie mwenzako kachelewa kuoa au kuolewa kwakua wewe umewahi au kawahi kwakua wewe umechelewa..Nobody is in Time.

Muda upo kila muda, utauacha muda hapa hapa muda haukuachi..
Tulitengeneza muda ili tuweze kuweza kufanya vitu kwa mpangilio. Muda halisi ni Present..hakuna past wala future. Those are manmade illustrations..

My bad nilijua nipo kwenye Essay ya Theory of relativity...Quantum mechanics

But what is Real...?
 
“Listen to the whispers of the wind this Christmas. They carry a message of love, peace, hope and happiness for you. Wishing you all merry Christmas. ”

Nipo mpweke,nakunywa dose, mawazo na hali ya kupata tamaa ni kubwa sana imeniingia.Ila wazazi na ndungu na jamaa nimewatumia fedha za matumizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…