JF X-Mass and Happy New Year wishes

JF X-Mass and Happy New Year wishes

Mwaka ukiisha eti mnasameheana ila mwaka ukianza tu mnaanza kukwaruzana! hizi ni mind set tu hakuna maana yeyote ile,kusameheana ni muda wowote na sio mwisho wa mwaka tu,tuache kuishi kwa kukariri vitu.
 
Kama umenikosea mwaka huu usitegemee nitakusamehe tu kizembe kisa mwaka umeisha...haitawahi kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe inawezekana mtu kumchukia mwenzake ambaye hajawahi kumuona na wala hamjui? unakua unaikasirikia ID fake sio? huoni kua hapo anayeteseka ni wewe na sio huyo uliyemkasirikia? jifikirishe.
 
Mwaka ukiisha eti mnasameheana ila mwaka ukianza tu mnaanza kukwaruzana! hizi ni mind set tu hakuna maana yeyote ile,kusameheana ni muda wowote na sio mwisho wa mwaka tu,tuache kuishi kwa kukariri vitu.
Kuhuburi upendo ni kitu kibaya?
 
Kumbe inawezekana mtu kumchukia mwenzake ambaye hajawahi kumuona na wala hamjui? unakua unaikasirikia ID fake sio? huoni kua hapo anayeteseka ni wewe na sio huyo uliyemkasirikia? jifikirishe.
Mh, usichukulie kila kitu serious sanaa[emoji23]

Uwe na sikukuu njema
 
Merry xmas wana JF wote

Kwa yeyote tuliyekosana mwaka huu..........iInsha Allah bifu liendelee mapema mwakani
Joanah zile mbanga za ooh mwaka 2020 sijui nauanza kwa amani sitaki ugomvi na raia oote,so naomba tusameheane mala blah blah blah perepete mingi sijui vikapanda vikashuka msinambie kabisa kausha tuendelee ivi ivi life ni hili hili.
 
unaposema eti nakutakia maisha marefu..

hebu malizia hapo yenye baraka na Furaha tele alah.!
 
Mi kwangu iende kwa wana JF wote na ujumbe mkubwa kwangu ni wote tukae na kutafakari je tunaishi kwa malengo na je malengo ya mwaka huu unaoisha tumeyatekeleza kwa asilimia ngapi? 🤔

Tukishayajua yote hayo yabidi sasa mwaka mpya ukianza yasiyoisha tuyamalizie huku tukiwa na malengo mapya ya 2020. Na kwa wale msio ishi kwa malengo muda ndio huu wa kupanga kipi unadhamiria kufanya kwa mwaka ujao.

Happy new year in advance.
 
Back
Top Bottom