The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kumbe inawezekana mtu kumchukia mwenzake ambaye hajawahi kumuona na wala hamjui? unakua unaikasirikia ID fake sio? huoni kua hapo anayeteseka ni wewe na sio huyo uliyemkasirikia? jifikirishe.Kama umenikosea mwaka huu usitegemee nitakusamehe tu kizembe kisa mwaka umeisha...haitawahi kutokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhuburi upendo ni kitu kibaya?Mwaka ukiisha eti mnasameheana ila mwaka ukianza tu mnaanza kukwaruzana! hizi ni mind set tu hakuna maana yeyote ile,kusameheana ni muda wowote na sio mwisho wa mwaka tu,tuache kuishi kwa kukariri vitu.
Mh, usichukulie kila kitu serious sanaa[emoji23]Kumbe inawezekana mtu kumchukia mwenzake ambaye hajawahi kumuona na wala hamjui? unakua unaikasirikia ID fake sio? huoni kua hapo anayeteseka ni wewe na sio huyo uliyemkasirikia? jifikirishe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Merry xmas wana JF wote
Kwa yeyote tuliyekosana mwaka huu..........iInsha Allah bifu liendelee mapema mwakani
Joanah zile mbanga za ooh mwaka 2020 sijui nauanza kwa amani sitaki ugomvi na raia oote,so naomba tusameheane mala blah blah blah perepete mingi sijui vikapanda vikashuka msinambie kabisa kausha tuendelee ivi ivi life ni hili hili.Merry xmas wana JF wote
Kwa yeyote tuliyekosana mwaka huu..........iInsha Allah bifu liendelee mapema mwakani
Asante wangu. Na kwako piaMerry Christmas Ronny2010
Wapi nimesema hivyo?Kuhuburi upendo ni kitu kibaya?
Nashukuru umenisaidia [emoji23][emoji23][emoji23] maana watu hum bwana hata haoni kuwa hii ni chitchatMh, usichukulie kila kitu serious sanaa[emoji23]
Uwe na sikukuu njema