Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea hapa nchin, mabeki wavivu na wachovu kama Bacca, Mwamnyeto, Che Malone, Job aisee kama hamtakuwa na tabia za Juma Nyosso, Blanco anakuja kuharibu ugali wenu.Jiandaeni kumkaba jamaa anajua kweli boil sio mchezo.