Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Forward wa you tube, ngoja ligi ianze.Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea hapa nchin, mabeki wavivu na wachovu kama Bacca, Mwamnyeto, Che Malone, Job aisee kama hamtakuwa na tabia za Juma Nyosso, Blanco anakuja kuharibu ugali wenu.Jiandaeni kumkaba jamaa anajua kweli boil sio mchezo.
Acha dharau dogo.Vipi yule wa Makolo aliyekuwa anamkaba Christiano ronaldo?
MajeruhiHivi Azam dirisha dogo walimsajili mshambuliaji kutoka Colombia anaitwa Franklin Navarro hivi nini kimetokea kwa huyo mchezaji? Kacheza mechi ngapi na ana magoli mangapi?
Nimekumbuka Muhasibu wetu alituletea video za kumpamba Mthunguuu na baadae Sawadogo kilichomtokea anajua yeye mwenyewe,nasubiri usajili uanze tupate video za magharasa ya mikia kutoka yu tubuuuuYouTube hata sawadogo utaona anajua sana, vitu vya miaka miwili alivyofanya mchezaji vinawekwa ndani ya dakika 3
Alafu kuhusu kumuita poti Ibrahim bacca kua ni mchovu, ningekua mod ningekulima ban
Shenzi
Kama Mthunguu na SawadogoKama bigirimana vile
You tube ? Hata Konkoni you tube alikuwa poa sanaNimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea hapa nchin, mabeki wavivu na wachovu kama Bacca, Mwamnyeto, Che Malone, Job aisee kama hamtakuwa na tabia za Juma Nyosso, Blanco anakuja kuharibu ugali wenu.Jiandaeni kumkaba jamaa anajua kweli boil sio mchezo.