Abubakar Abdallah
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 281
- 170
Oga vizuri paka mafuta yako au lotion,na ujiache na mwonekano wako ukiwa natural,sio unajipiga varnish sijui polish,alafu unatembea ghafla mawingu yanatanda na kaumatone kwa mbaaali,[emoji1] [emoji1] [emoji1] unashangaa jitu linatoka speed kama linasukumwa na upepo,kumbe anatetea rangi yake ya mbao kumbe wadada wanajua raidha ila tu ni kwa msimu wa mvua.[emoji15]