Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Cha muhimu ni kujikubali tu. Ifike mahali mtu ukubali kwamba ndivyo ulivyoumbwa na ilishatokea kamwe huwezi kubadilisha ukweliTukiwaga nae mchana tukipiga picha ye ndo anaetupiga hataki kutokea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Saa zingine make up zinatudanganya tunajiona warembo ila tukishazitoa tunajiona uhalisia wetu.