Jiamini make up ya nini? jiachie na mwonekano wako ukiwa natural

Nyc....kwanini ufikirie kuwa na mvuto kwa kutumia vitu bandia?kesho mtu akufate muyajenge wakubali.....lakini baadae akikuona bila make up haamin na anayeya,je utamlaumu?
Kwani anapenda sura, tabia,au mwonekano??? Ndo maana mahusiano yanawashinda wengi... Yaani hawajui wanataka nini
 
Khaaa sio kwa povu hili jamani figganigga ina maana ndo nimekukosa nilikuwaga nakumendea
 
Cha ajabu wanaume mnaopinga make up, huwa mnakua na magoma yaliyopiga make up hadi yamekua kama zombi, goma limejikrimu hadi linaelekea kuwa la kijani
Hehehe eve umenivunja mbavu ati linaelekea kuwa la nini?
 
Hahaha
Umeonaee... Walau ka Jonson powder
Eeh jamani. Halafu mtu ukipata make up unapendeza bwana. Urembo ni kwa ajili ya mwanamke. Sasa sio mwanaume atoke hata mafuta hapaki na mie hata lipstick kweli?? Anaeniona wa ajabu sawa tu ile mi moyo unafurahia
 
Hiyo yote iko akilini mwako tu.
 
[emoji23] [emoji23] siwezi kuongeza tena mwenza si umesikia hapendi mekapu na mimi bila mekapu hata msalani siendi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna dada mmoja haonani na watu mchana maana ukimuona usiku na picha zake za instagram ni watu wawili tofauti na utakaemuona mchana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna dada mmoja haonani na watu mchana maana ukimuona usiku na picha zake za instagram ni watu wawili tofauti na utakaemuona mchana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo mateso bila chuki
 
Haha mwambie atembee buana siku akikutana na sisi wenzie tunovyotembea kwa kujiamini atapata nguvu na yeye
Tukiwaga nae mchana tukipiga picha ye ndo anaetupiga hataki kutokea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Saa zingine make up zinatudanganya tunajiona warembo ila tukishazitoa tunajiona uhalisia wetu.
 
Mnao tumia ukikutana na mimi nitakupa maji ya uvuguvugu unawe kisha mambo mengine ndio yatafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…