Cha muhimu ni kujikubali tu. Ifike mahali mtu ukubali kwamba ndivyo ulivyoumbwa na ilishatokea kamwe huwezi kubadilisha ukweliTukiwaga nae mchana tukipiga picha ye ndo anaetupiga hataki kutokea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Saa zingine make up zinatudanganya tunajiona warembo ila tukishazitoa tunajiona uhalisia wetu.
Utaharibu sasa. Kuna watu wanapaka make up layer tatu. Yani hata asweat vipi anabakia vile vile. Mtu ukimpa maji anawe Make Up inaanguka sio kutokaMnao tumia ukikutana na mimi nitakupa maji ya uvuguvugu unawe kisha mambo mengine ndio yatafuata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama mbwai mbwai tuUtaharibu sasa. Kuna watu wanapaka make up layer tatu. Yani hata asweat vipi anabakia vile vile. Mtu ukimpa maji anawe Make Up inaanguka sio kutoka
Powder tu kidogo si mbaya. Sasa mtu asubuhi anaenda ofisini anaweka foundation powder mara kontua akilamaliza hapo anapaka na wanja kwenye nyusi. Huyo ndo siku mkimuona bila make up mnaweza jua mgeni.Cha muhimu ni kujikubali tu. Ifike mahali mtu ukubali kwamba ndivyo ulivyoumbwa na ilishatokea kamwe huwezi kubadilisha ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama mbwai mbwai tu
Tupo sana tu!!!Mkuu, ivi kuna mwanamke asiepaka makeup dunia ya sasaivi?
Hongera yako mkuu.Tupo sana tu!!!
Make up ukiizoea sana unakua kama mtumwa....Kuna wakati nilikua so addicted.
Ila baadae nikaona it's too much nimeacha make up almost a year and it is so liberating living in my own skin.
Ngozi inapumua vizuri, ina afya na chunusi na alama zimepungua.
Shukrani!Hongera yako mkuu.
[emoji28][emoji23][emoji28]Nikienda kununua ninahakikisha mr hayuko, maana cashier anakwambia laki tatu. Unaweza kuulizwa hela hii ni ya hili vumbi hili?
Unatumia make up ehhhh kumbeUzuri hata wao wanavutiwa
HahahaUnatumia make up ehhhh kumbe
Ila usisahau.kuwa mwanaume hatopay.attention kwa mwenye uzuri wa make up....Uzuri hata wao wanavutiwa
Sio woteIla usisahau.kuwa mwanaume hatopay.attention kwa mwenye uzuri wa make up....
Na ndo mana wengi wanalalamika kuachwa coz kila siku mtu anakutana na mtu mwingine,leo wa chocolate,kesho mweupe kesho near black eh...Sio wote
Ila hata mie sitapenda mwanaume anipende sababu ya make-up
Kila unachojadili huwa kinakuhusu mkuu?Ila wanaume wa Jf!!!
Seriously mnajadili make up ya mwanamke.
I don mind as long as she is comfortable.