Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 471
- 1,217
Huu ukweli ukubali kama ulivyo na utakuweka huru hasa pale unapokimbiwa kipindi matatizo yako yamezidi uwezo wao kuvumilia.
Watu wengi hawaji kwako kupata hasara hata kama watasema wanakuvumilia jua kuna kesho wameiona ina manufaa hivyo wamepiga hesabu wakaona faida itakuwa kubwa kwao hivyo bora tu wakuvumilie kwa sasa.
Ni wachache watabaki na wewe kipindi ambacho huonyeshi dalili zozote za kuwa tena bora na hata hao wachache wataobaki na wewe wengine itakuwa ni sababu tu hawana pakwenda kwa muda huo.
Mwenye jukumu la kujitunza ni lako iwe uzeeni au kipindi chochote ambacho hali yako haitokuwa sawa jua wewe ndio mwenye jukumu hilo hivyo ni bora kuweka misingi ya kukusaidia kipindi ambacho utakimbiwa.