Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
π£οΈ Jitayarishe na Tukio la Ajabu la kupatwa kwa Mwezi Mwaka huu 2025! Ambapo Mwezi utaweza kubadilika na kuwa na Rangi nyekundu kama damu Duniani.
Mwezi huu Machi kutakua na matukio mawili makubwa la kwanza Ni kupatwa kwa jua, jua litaweza kupatwa na kudumu kwa muda mrefu Yani itaweza chukua mpaka dakika 6 jua litaweza kupatwa.
π Tukio la kushangaza zaidi ni kuhusu Mwezi utaweza kupatwa na kubadilika kuwa Rangi Nyekundu kama damu ya Mzee ambapo tukio ilo litatokea Mwezi huu Machi Tarehe 14 na 15 , Mwezi utabadilika na kuwa Mwekundu Wote.
π Mwezi unapobadilika na kuwa Mwekundu Sehemu mbalimbali za duniani zitaweza kushuhudia hii tukio kwani ni tukio litakalo dumu ndani ya dakika 65!
Wala uhitaji kifaa Maalum kuweza kuonekana zaidi ya kuomba Afya njema na uzima tu kwa Mungu kuweza kushuhudia tukio hili Adimu ambalo ukilikosa utaweza kuliona tena mpaka mwaka 2041.
π Nyakati zinatofautiana kuona lakini itaweza kuonekana kwa nchi mbalimbali kuanzia nchi za Magharibi ya Afrika, Asia , Mexico, Usa, Canada, Algeria, Libya, Morocco, Sudan, Tunisia, na nchi za Afrika Mashariki.
Credit: #nasa #astronomers #bongotech255