Jiandae mwezi huu jua litapatwa pamoja na mwezi utakua mwekundu kama damu

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
620
Reaction score
1,240
Mwezi become Red_20250306_005318_0000.png

🗣️ Jitayarishe na Tukio la Ajabu la kupatwa kwa Mwezi Mwaka huu 2025! Ambapo Mwezi utaweza kubadilika na kuwa na Rangi nyekundu kama damu Duniani.

7_20250306_004810_0000.png

Mwezi huu Machi kutakua na matukio mawili makubwa la kwanza Ni kupatwa kwa jua, jua litaweza kupatwa na kudumu kwa muda mrefu Yani itaweza chukua mpaka dakika 6 jua litaweza kupatwa.

2_20250306_004349_0001.png

🚀 Tukio la kushangaza zaidi ni kuhusu Mwezi utaweza kupatwa na kubadilika kuwa Rangi Nyekundu kama damu ya Mzee ambapo tukio ilo litatokea Mwezi huu Machi Tarehe 14 na 15 , Mwezi utabadilika na kuwa Mwekundu Wote.

3_20250306_004349_0002.png

4_20250306_004349_0003.png

🌔 Mwezi unapobadilika na kuwa Mwekundu Sehemu mbalimbali za duniani zitaweza kushuhudia hii tukio kwani ni tukio litakalo dumu ndani ya dakika 65!

5_20250306_004349_0004.png

6_20250306_004349_0005.png

Wala uhitaji kifaa Maalum kuweza kuonekana zaidi ya kuomba Afya njema na uzima tu kwa Mungu kuweza kushuhudia tukio hili Adimu ambalo ukilikosa utaweza kuliona tena mpaka mwaka 2041.

images - 2025-03-06T004446.452.jpeg

🔆 Nyakati zinatofautiana kuona lakini itaweza kuonekana kwa nchi mbalimbali kuanzia nchi za Magharibi ya Afrika, Asia , Mexico, Usa, Canada, Algeria, Libya, Morocco, Sudan, Tunisia, na nchi za Afrika Mashariki.

Credit: #nasa #astronomers #bongotech255
 
Hapo mashekhe lazima awatasema kitu na vile ndo itakuwa mwisho mwisho wa ramadhani hehe!. hapo utasikia firauni anakuja kutwaa dunia mara nani nani huko amefunguliwa kutoka chini ya bahari alipokuwa amefungwa miaka alfu na kenda!.
ilimradi kutishana kumbe ni matukio yakawaida tu yakisayansi!..
 
ni qiyama ni siku ya ijumaa hivo ipo pribability hiyo japo bado kuna dalili kuu ya qiyama haijatokea kwahyo tunaweza kukanusha mpaka itakapotokea hiyo dalili.

mrejee muumba wako
 
Braza umevurugwa!!! ati miaka alfu na Kenda😀😀😀😀😀
 
ni qiyama ni siku ya ijumaa hivo ipo pribability hiyo japo bado kuna dalili kuu ya qiyama haijatokea kwahyo tunaweza kukanusha mpaka itakapotokea hiyo dalili.

mrejee muumba wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji706]
 
Hapo mashekhe lazima awatasema kitu na vile ndo itakuwa mwisho mwisho wa ramadhani hehe!. hapo utasikia firauni anakuja kutwaa dunia mara nani nani huko amefunguliwa kutoka chini ya bahari alipokuwa amefungwa miaka alfu na kenda!.
ilimradi kutishana kumbe ni matukio yakawaida tu yakisayansi!..
Mkuu tuwaombe wanasayansi walete mvua jua limekua kali sana aisee!
 
Back
Top Bottom