redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Msimu uliopita apo Mbeya goli walilofunga Simba kupitia mkude ni mpira ambao ulikua umetoka nje ukarudishwa ndani ya uwanja na Simba wakajipatia goli na point tatu.
Kwa upande wa maamuzi yakabaki kama makosa ya kibinadamu.
Ikitokea Simba Leo akafungwa goli kama lile itaonekana mwamuzi kapewa bahasha na atafungiwa,
Soka letu kivyetu vyetu.
Goli safi la Azam dhidi ya Dodoma Jiji limekataliwa na maisha yanaendelea wala hakuna habari za bahasha.