This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Mpira ni mchezo wa wazi.(1) makosa ya kibinadamu kutoka kwa marefa/waamuzi wa mchezo watakaochezesha huo mchezo.
(2)kadi za njano nyingi sana zitatolewa kwa Tanzania prisons mpaka kadi nyekundu kabisa.
(3) Penalty/Tuta ya mchongo ni Jambo la kawaida kutolewa na Simba sc watanufaika nalo.
Mwisho wa dakika 90 Simba sc wataondoka na pointi tatu muhimu haijalishi wamezipata vipi.
Wenye busara wanaangalia mechi halafu wanaongea. Wapumbavu ndiyo mnaocheza mechi mtandaoni