Jiandaeni kisaikolojia kushuhudia haya kwenye mchezo wa Tanzania prisons vs Simba SC

(1) makosa ya kibinadamu kutoka kwa marefa/waamuzi wa mchezo watakaochezesha huo mchezo.

(2)kadi za njano nyingi sana zitatolewa kwa Tanzania prisons mpaka kadi nyekundu kabisa.

(3) Penalty/Tuta ya mchongo ni Jambo la kawaida kutolewa na Simba sc watanufaika nalo.

Mwisho wa dakika 90 Simba sc wataondoka na pointi tatu muhimu haijalishi wamezipata vipi.
Mpira ni mchezo wa wazi.

Wenye busara wanaangalia mechi halafu wanaongea. Wapumbavu ndiyo mnaocheza mechi mtandaoni
 
Wanakosea BBC wasema KUMRADHI Mimi Nani nisikosee??

Punguza ushubwada.
Ni mwanzo mzuri kwa kichaa kujua alikosea.Kuna matumaini ya kufanikiwa kwa tiba.Kichaa mwenyewe huwa anatizama BBC😅
 
(1) makosa ya kibinadamu kutoka kwa marefa/waamuzi wa mchezo watakaochezesha huo mchezo.

(2)kadi za njano nyingi sana zitatolewa kwa Tanzania prisons mpaka kadi nyekundu kabisa.

(3) Penalty/Tuta ya mchongo ni Jambo la kawaida kutolewa na Simba sc watanufaika nalo.

Mwisho wa dakika 90 Simba sc wataondoka na pointi tatu muhimu haijalishi wamezipata vipi.
Kama walivyobebwa Ihefu hapa
IMG-20231006-WA0124.jpg
 
Back
Top Bottom