Jiandaeni kisaikolojia kushuhudia haya kwenye mchezo wa Tanzania prisons vs Simba SC

Msimu uliopita apo Mbeya goli walilofunga Simba kupitia mkude ni mpira ambao ulikua umetoka nje ukarudishwa ndani ya uwanja na Simba wakajipatia goli na point tatu.
Kwa upande wa maamuzi yakabaki kama makosa ya kibinadamu.

Ikitokea Simba Leo akafungwa goli kama lile itaonekana mwamuzi kapewa bahasha na atafungiwa,
Soka letu kivyetu vyetu.

Goli safi la Azam dhidi ya Dodoma Jiji limekataliwa na maisha yanaendelea wala hakuna habari za bahasha.
 
Huyu hapa kaamka na maumivu ya sindano ya Ihefu!! Pole sana!! Bado anafukuzwa na kivuli cha Ihefu!!
 
"Mwisho wa dakika 90 Simba sc wataondoka na pointi tatu muhimu haijalishi wamezipata vipi.[/QUOTE]"



Hiyo sentensi ya mwisho ndio muhimu. Hivyo vingine vinadhihirisha utopolo wako.
Wito wangu ni 'tengeneza timu bora upate ushindi kataa makasiriko/malalamiko'
 
"Mwisho wa dakika 90 Simba sc wataondoka na pointi tatu muhimu haijalishi wamezipata vipi.
"



Hiyo sentensi ya mwisho ndio muhimu. Hivyo vingine vinadhihirisha utopolo wako.
Wito wangu ni 'tengeneza timu bora upate ushindi kataa makasiriko/malalamiko'[/QUOTE]Kwa hiyo unataka kusema Simba Ina kikosi kizuri??
 
1. Makosa ya kibinadamu [emoji736]
2. Kadi nyingi za njano [emoji736]
3. Penati ya mchongo [emoji736]

TFF na Rais wao wawape makolo kombe wasitupotezee muda wetu...
 
Msimu uliopita apo Mbeya goli walilofunga Simba kupitia mkude ni mpira ambao ulikua umetoka nje ukarudishwa ndani ya uwanja na Simba wakajipatia goli na point tatu...
La azam lilikataliwa na mission ikawa saf, akadraw ili asilete upinzani kileleni, ya kwao yakawadodea ikalazimika waahid 25m ili pacha nae akwame awe wa3 kileleni awe azam kwa +1, kwa baht mby simba wateranga wakang'amua, chama kimewakosesha watu 25m hivi hivi
 
1. Makosa ya kibinadamu [emoji736]
2. Kadi nyingi za njano [emoji736]
3. Penati ya mchongo [emoji736]

TFF na Rais wao wawape makolo kombe wasitupotezee muda wetu...
Powee dynamos walikula umeme kwao pale pale, kwan mechi ile ilikuwa chini ya ti ihefu ihefu?

Nakushauri ujifunze mpira, aina ya uchezaji wa simba humlazimisha mpinzani kufanya faulo ngumu kila mara kwa sababu wanapeana pasi za papo hapo, mtu kakabwa na watu watatu na anapewa pasi, hii ni tofauti na yanga ambao mfumo wao ukitoa pasi unafungua ili upewe mpira ukiwa peke ako
 
Haha haha haha haya ni mambo ya kawaida sana kwenye game yoyote
 
Hamna Uwanja wa Nelson Mandela Mbeya. Kipigo cha Ihefu kimewachanganya Utopolo. Mwingine jana alimuita Kocha wao Nabi.Ngebe mbaya sana.
Wanakosea BBC wasema KUMRADHI Mimi Nani nisikosee??

Punguza ushubwada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…