Jiandaeni kumwona Samata live hapo saa 1 usiku

Dk ya 68 Genk wanaongoza 2-0 goli la sanatta dk ya 24 na yule dogo mnigeria katupia la pili
 
Kachukuliwa Tanzania ama Congo?Unategemea hao jamaa waje JKT Ruvu,Mbagala market
 
Nilikuwa Oran juzi kati. Maaskari wa pale uwanja wandege walipoona pass port yangu walianza kuita Samatta ooh Samatta korocho korocho alau alau!! . Sasa mimi lugha yao najua alifu tu.. Nilishindwa Kuelewa walikuwa wanamaanisha nini . Ila nyuso zao ziluonyesha kumkubali Samatta. Hongera Samatta kwa kutupa jina Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…