Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dakika ya 70 Genk 2-0 oostendeMPIRA DAKIKA YA NGAPI?
Kachukuliwa Tanzania ama Congo?Unategemea hao jamaa waje JKT Ruvu,Mbagala marketSafi sana aisee, atuwakilishe vema huko nje.
Moja ya kipengele cha mkataba wake ni kuwezesha kuchukuliwa vipaji zaidi kila mwaka toka hapa Tanzania, yaani Genk itakua kila mwaka inakuja kuchukua vijana hapa.
Akifanya vizuri atajenga base kubwa sana ya jamaa kutamani kurudi kusaka vipaji
teh teh Tanzania mkuu, mbona huamini kuwa chema chaweza kutoka BongoLandKachukuliwa Tanzania ama Congo?Unategemea hao jamaa waje JKT Ruvu,Mbagala market
So rizki huyoHii thread haipo kwa ajiri yako! Unaongea as if umetumiwa message! Wivu Tu huna lolote!
Hapana mkuu umechanganya mambo.hapo mtangazaji alikua anamwongelea strika mwingine dogo wa miaka 18 anaitwa Bailey ndo kapiga goal la 2 na assist kwa samata.Mtangazaji anasema anashangaa kama bado atakuwa Genk mwakani kwa maana atanunuliwa na timu kubwa
Asante kwa ufafanuzi mkuuHapana mkuu umechanganya mambo.hapo mtangazaji alikua anamwongelea strika mwingine dogo wa miaka 18 anaitwa Bailey ndo kapiga goal la 2 na assist kwa samata.