Jiandaeni kumwona Samata live hapo saa 1 usiku

Jiandaeni kumwona Samata live hapo saa 1 usiku

Dk ya 68 Genk wanaongoza 2-0 goli la sanatta dk ya 24 na yule dogo mnigeria katupia la pili
 
Safi sana aisee, atuwakilishe vema huko nje.
Moja ya kipengele cha mkataba wake ni kuwezesha kuchukuliwa vipaji zaidi kila mwaka toka hapa Tanzania, yaani Genk itakua kila mwaka inakuja kuchukua vijana hapa.

Akifanya vizuri atajenga base kubwa sana ya jamaa kutamani kurudi kusaka vipaji
Kachukuliwa Tanzania ama Congo?Unategemea hao jamaa waje JKT Ruvu,Mbagala market
 
Nilikuwa Oran juzi kati. Maaskari wa pale uwanja wandege walipoona pass port yangu walianza kuita Samatta ooh Samatta korocho korocho alau alau!! . Sasa mimi lugha yao najua alifu tu.. Nilishindwa Kuelewa walikuwa wanamaanisha nini . Ila nyuso zao ziluonyesha kumkubali Samatta. Hongera Samatta kwa kutupa jina Watanzania.
 
Back
Top Bottom