Jiandikishe kugawa viungo vyako uishi milele

Jiandikishe kugawa viungo vyako uishi milele

 
Chukulia mfano damu tu, unatoa bulee kuchangia damu, lkn ukienda unaambiwa damu hakuna kabisaaaa yaani ni changamoto kubwa sana kwa hapa bongo. Usiseme selikali inakusanya kodi ndogo alafu tunatumia gharama kubwa kutibu magonjwa.kwanza kunywa pombe na kuvuta cgara ni jambo la hiyali kingine kodi inayokusanywa ni kubwa tofauli na unavyofikili, kiwanda cha cgara hiki cha tanzania kitahudumia inch 5 , yaaani kuna nchi tado za africa zinategemea zigara kutoka tanzani, na kwa masaa 6 kiwanda kinazalisha cgara milion 30, pale cgara mfanyakazi mmoja anakatwa kodi 30% kutokana na mshahara wake, hapo bado kule kwa wakulima hatujakusanya kodi ya kuuza tumbaku nk, mfano kipindi cha uchaguzi congo hununua cgara nyingi sana
 
 
 
Hii kitu italeta madhara makubwa sana huko mbele kama mauwaji na human traficking nyie ipigieni debe muone km ni sifa
 
 
Kule marekani huwa wanaitwa donors, mtu anajiandikisha kwenye orodha maalum ambapo anatoa ridhaa yake mwenyewe kwamba pindi atakapofariki basi immediately viungo vya mwili wake kama ini, moyo, mapafu,figo nk. vivunwe mara moja na kuhifadhiwa kabla havijaharibika ili vitumike kuokoa maisha ya watu wengine ambao watakuwa wanavihitaji.

Kwa upande wa pili kuna kuwa na orodha ya nyingine ya wagonjwa ambao wana-apply kwa ajili ya kupata hizo donors parts pindi zitakapokuwa available. Utaratibu huu umeshaokoa maisha ya malaki ya watu duniani, hasa kwa wale wenye kuhitaji kuwekewa moyo au figo mpya.

Faida zake;

Licha ya kwamba huokoa maisha ya watu, pia hupunguza bajeti ya afya kwa taifa kiujumla, mind you kumng'oa figo mtu aliyehai ili akupe wewe moja na yeye abaki na moja ni suala gumu sana, nilisikiaga kuna mtu alikuwa anauza figo yake kwa 90M,sishangai hata kidogo!

You can imagine jinsi tunavyofukia mabilioni kila siku chini ya ardhi kwenye makaburi! Ila pia moyo wako unapofungwa kwenye kifua cha mtu mwingine ni kwamba wewe bado unaishi ndani yake, na unaweza hata kum-influence huyo recepient akawa na bakshishi kama zako wakati upo hai, hivyo na yeye akija kuugawa tena basi ni kama unaishi milele!

In anycase, spare parts za binadamu ni ghali.., na haziuzwi hovyo madukani, hivyo, ili kulinda figo na ini inabidi upunguze au kuacha kabisa matumizi ya pombe. Ili kulinda mapafu inabidi upunguze au kuacha kabisa matumizi ya tumbaku na bangi, pia ili kulinda moyo jitahidi either kupunguza ulaji wa kitimoto usio na tija au ukishindwa fanya mazoezi asubuhi na jioni, ni muhimu sana.

Cha kushangaza, serikali hutumia pesa nyingi kutibu magonjwa yatokanayo na pombe na sigara kuliko kodi inayokusanya kutokana na sumu hizo, ni ajabu na kweli, hili liangaliwe upya.

DON FRANCIS


================================
Update: 15/03/2021

=================================
Update: 28/04/2021

==========================
Update: 14/08/2024

Da!!!!! kwa hali hii,hii ikipita, sintolewa tena na kutembea barabarani,,,unaweza kugongwa na gari makusudi ili wakakuvune figo!!
 
Ili jambo ni hatari sana niliwahi kumuona mdada alikuwa na changamoto ya figo aiseee ilikuwa inampa hardship sana sijui kwa sasa yuko wapi
 
Back
Top Bottom