Jiangalie kama Mungu anavyokuangalia sio kama watu wanavyokuchukulia

Jiangalie kama Mungu anavyokuangalia sio kama watu wanavyokuchukulia

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Mwenyezi Mungu anapokuangalia Bado anaona ndani yako uwezekano mkubwa wa KUWA Bora kuliko ulivyo Sasa.

Watu wanaweza kuona mwisho wako utakuwa hivyohivyo, lakini Mungu wako anaona uwezakano mkubwa wa kukupandisha VIWANGO vya juu zaidi ya ulivyo Sasa.

Inategemea unatumua muda mwingi kusikiliza watu au kulisikiliza sauti ya Mungu inayonong'oneza ndani yako KUWA BADO INAWEZEKANA.

Tenga muda maalumu wa kumuomba na mumsikiliza Mwenyezi Mungu.
Itakusaidia sana kukurudisha mchezoni.

Ni hayo tu.

Mtumishi Matunduizi
 
Na namna ya kutambua Mungu anavyokuchukulia,zingatia amani ya moyo...ukiona umepumuliwa au umemchovya vidole mwenzio after that huna amani kwa vitendo hivyo,,acha maramoja
 
Mwenyezi Mungu anapokuangalia Bado anaona ndani yako uwezekano mkubwa wa KUWA Bora kuliko ulivyo Sasa.

Watu wanaweza kuona mwisho wako utakuwa hivyohivyo, lakini Mungu wako anaona uwezakano mkubwa wa kukupandisha VIWANGO vya juu zaidi ya ulivyo Sasa.

Inategemea unatumua muda mwingi kusikiliza watu au kulisikiliza sauti ya Mungu inayonong'oneza ndani yako KUWA BADO INAWEZEKANA.

Tenga muda maalumu wa kumuomba na mumsikiliza Mwenyezi Mungu.
Itakusaidia sana kukurudisha mchezoni.

Ni hayo tu.

Mtumishi Matunduizi
Mtumishi, kwani Mungu hajui ndani ya mtu kuna nini? Hilo neno "uwezekano" lina dhana ya uncertainty. Naamini Mungu habahatishi kama sisi wanadamu. Anajua yote yaliyomo ndani yetu. Hivyo nafikiri ungesema: "Mungu amekuwekea ndani yako uwezo wa kuwa bora" au "Mungu anajua utakuwa bora," badala ya kusema anaona uwezekano...
 
Back
Top Bottom