"wazee wa kupiga deki....... Wcb.."Mi cjaielewaga ile anaimba "paka mate niteleze km nyoka pangoni".....na nyie mnawapigia makofi tu.
Yajayo Yanafurahisha.
yaan haki ya nani wanazingua kinyama yaan mambo wanayo fanya na mademu zao wanayaanika kweny umma kwa. nyimbo na videoHicho kikundi ningekuwa na uwezo ningekipiga marufuku
[emoji33] [emoji33] [emoji33]Jinkolo kolo, uno nasokotaga
Aliekutuma usikilize na watoto nani?! Watoto zao katuni,wewe unawackilizisha ngoma za wakubwaYaan WCB ni wale wale yaan wamefunga utupu wa kupindukia kwenye Video yao ya JIBEBE ila wameweka utupu tena mkubwa kwenye MNeno yao ya Wimbo ....
lavalava
kitandani mwendo wa kwachu kwachu....
najiuliza unaangalia huo wimbo mkekaa na mtoto anakuuliz baba kwakukwach kitandani ndo ikoje...sijui utamjibu nini 😱😱
mbosso
du haya maneno aise aliyo yaimba mbosso hata kunukuu tu naona uzito ....
kiukwel WCB wanapambania vipaji vyao ila wanako enda wanavua nguo kabisa
cjui watoto wanajifunza nn ila kizazi kinacho kuja wazazi watapata tabu sana
siku ukiulizwa na mwanao ndo utajua walisikiliza na ww ama na nani hukoo.....Aliekutuma usikilize na watoto nani?! Watoto zao katuni,wewe unawackilizisha ngoma za wakubwa
Kwani zinapigwa usiku wa manane? Au umesahau hata mchana muda ambao wewe upo kwa job watoto wanaweza wakasilikiza huo misicAliekutuma usikilize na watoto nani?! Watoto zao katuni,wewe unawackilizisha ngoma za wakubwa
yaan huyo jamaa anazani simewekwa kweny kontena zinajililia zenyeweKwani zinapigwa usiku wa manane? Au umesahau hata mchana muda ambao wewe upo kwa job watoto wanaweza wakasilikiza huo misic
Sent using Jamii Forums mobile app