Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

ila kiukwel nyimbo za WCB zinabeba mambo ya kikubwa ukikakuta katoto kana toka shule kapo bize kanazikalili tena kwa sauti ....huku vingine vinaanza kutafuta maana kwa nguvu ...vingine utazani vimezaliwa vinajua vinaelewa hatari
 
Sasa siku nzima unaangalia tv hizo na wewe si utakuwa wale wale tu , weka nat geo , discovery , super spot , bbc uone kama utakutana na ujinga..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Parental control is advised.... sio kla kitu mwanao anatakiwa akisikilizeee au akionee kweny runinga...chukua tahadhari ya malezi kabla ya basata kuchukuaa hatua
 
Yaan WCB ni wale wale yaan wamefunga utupu wa kupindukia kwenye Video yao ya JIBEBE ila wameweka utupu tena mkubwa kwenye MNeno yao ya Wimbo ....

lavalava

kitandani mwendo wa kwachu kwachu....
najiuliza unaangalia huo wimbo mkekaa na mtoto anakuuliz baba kwakukwach kitandani ndo ikoje...sijui utamjibu nini 😱😱

mbosso

du haya maneno aise aliyo yaimba mbosso hata kunukuu tu naona uzito ....

kiukwel WCB wanapambania vipaji vyao ila wanako enda wanavua nguo kabisa

cjui watoto wanajifunza nn ila kizazi kinacho kuja wazazi watapata tabu sana
 
Hawa jamaa wanakoelekea ni kuiharibu jamii hasa watoto wetu ndo wahanga wakubwa mana nyimbo za hawa jamaa zinapigwa sana mpaka watoto wanazishika tunajenga kizazi kibovu sana mana basata waongee nao kama vip
 
Yaan WCB ni wale wale yaan wamefunga utupu wa kupindukia kwenye Video yao ya JIBEBE ila wameweka utupu tena mkubwa kwenye MNeno yao ya Wimbo ....

lavalava

kitandani mwendo wa kwachu kwachu....
najiuliza unaangalia huo wimbo mkekaa na mtoto anakuuliz baba kwakukwach kitandani ndo ikoje...sijui utamjibu nini 😱😱

mbosso

du haya maneno aise aliyo yaimba mbosso hata kunukuu tu naona uzito ....

kiukwel WCB wanapambania vipaji vyao ila wanako enda wanavua nguo kabisa

cjui watoto wanajifunza nn ila kizazi kinacho kuja wazazi watapata tabu sana
Aliekutuma usikilize na watoto nani?! Watoto zao katuni,wewe unawackilizisha ngoma za wakubwa
 
Baby papasa kichwa cha jusi kafiri nisafishe mtaro, na ulvyojaza nyuma fungu mbilii nyanya za masaroo. Duuuh
 
Back
Top Bottom