Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

Endeleeni kusafisha mitaro tu wakuu maana ndio DAR mpya hiyo ya usafi.
 
Team Mo Faya ktk ubora wako, kwani wewe kwachu kwachu umeelewaje?!halafu kwa nini unawaacha wanao wanasikiliza yasiyo wahusu!? Tafsida ndo imetumika sana humo ni wewe tu na mawazo yako ya kingonongono tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mtoto wako, anaangalia bongofleva huyo kichwani ni bogus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…