Jibebe ya WCB ibebwe tu na BASATA

Kweli mkuu [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto wenyewe hawa wa kizazi hiki, kuna wasichokijua??? Acheni kuwarushia mpira WCB kwa kuharibika kwa watoto wenu, Jitahidini kuwalea watoto wenu vizuri.
 
R Kelly au Lil Wayne akisema hayo hayo kwa kiingereza ruhsa,ila mbongo ndiyo nongwa.Unafiki tu
 
Team Mo Faya ktk ubora wako, kwani wewe kwachu kwachu umeelewaje?!halafu kwa nini unawaacha wanao wanasikiliza yasiyo wahusu!? Tafsida ndo imetumika sana humo ni wewe tu na mawazo yako ya kingonongono tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani una. fkira ndogo sana hivi kwa ulimwengu wa sasa unaweza kumzuia mtoto asisikie hizo nyimbo na jua kizazi cha sasa ni kile cha kuoji tena kinapelelez kuliko kawaida utamzuia kwako kwa jirani wameweka volume 120 hadi mtaa wa pili wanasiki ......sijui utamfungia wap huyo mwanao asisikie
 
R Kelly au Lil Wayne akisema hayo hayo kwa kiingereza ruhsa,ila mbongo ndiyo nongwa.Unafiki tu
shida ni Basata wanafungia video na nyimbo za ndani za njee zinaumiza kizazi kilichopo na kinacho kuja kinajengwa vibaya zaidi
 
Siku zote huwa nasema...

Tunakosea sana tukiwalaumu wasanii kwa kuimba matusi.

Wanamwimbia nani???
Vipi mapokeo ya nyimbo za matusi na zile ambazo hazina matusi...

Wanaimba kwa ajili ya mashabiki, na mashabiki wanazipokea vizuri nyimbo za matusi kuliko maadili..

How comes msanii aanze kuimba kilimo cha nyanya, unafikiri nani atakayesikiliza...

Dawa ya wasanii kuacha matusi ni kuacha kuwashabikia tu pindi wanapoimba..
Nyimbo zote za matusi zipotezewe..

Yani zisipewe airtime bila kutumia mabavu...

Ifikie pahala anayeimba matusi apotezewe top ten na show

Lakini hata ukiwafungia namba gani kama mashabiki wanapenda matusi, basi hawataacha KAMWE..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ndio maana wakatumia tafsida ili wakubwa tu waelewe
Kama mtoto wako kaelewa basi huyo sio mtoto tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…