October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
We nawe mshambajina tu la wimbo halijanivutia kuutafua niusikilize, kumbe kuna watu mpaka video mmeona aisee tupo tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nawe mshambajina tu la wimbo halijanivutia kuutafua niusikilize, kumbe kuna watu mpaka video mmeona aisee tupo tofauti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu [emoji23] [emoji23]Yaan WCB ni wale wale yaan wamefunga utupu wa kupindukia kwenye Video yao ya JIBEBE ila wameweka utupu tena mkubwa kwenye MNeno yao ya Wimbo ....
lavalava
kitandani mwendo wa kwachu kwachu....
najiuliza unaangalia huo wimbo mkekaa na mtoto anakuuliz baba kwakukwach kitandani ndo ikoje...sijui utamjibu nini [emoji33][emoji33]
mbosso
du haya maneno aise aliyo yaimba mbosso hata kunukuu tu naona uzito ....
kiukwel WCB wanapambania vipaji vyao ila wanako enda wanavua nguo kabisa
cjui watoto wanajifunza nn ila kizazi kinacho kuja wazazi watapata tabu sana
Naunga mkono hoja,ila pamoja na upuuzi huo Domo anawajengea msikiti waislam na wataupokea fresh tu.ni genge la wahuni
Nipatie vya kitandani nipe mpaka kwenye kitiTema mate nitereze kama nyoka pangoni
R Kelly au Lil Wayne akisema hayo hayo kwa kiingereza ruhsa,ila mbongo ndiyo nongwa.Unafiki tuYaan WCB ni wale wale yaan wamefunga utupu wa kupindukia kwenye Video yao ya JIBEBE ila wameweka utupu tena mkubwa kwenye MNeno yao ya Wimbo ....
lavalava
kitandani mwendo wa kwachu kwachu....
najiuliza unaangalia huo wimbo mkekaa na mtoto anakuuliz baba kwakukwach kitandani ndo ikoje...sijui utamjibu nini 😱😱
mbosso
du haya maneno aise aliyo yaimba mbosso hata kunukuu tu naona uzito ....
kiukwel WCB wanapambania vipaji vyao ila wanako enda wanavua nguo kabisa
cjui watoto wanajifunza nn ila kizazi kinacho kuja wazazi watapata tabu sana
Nyimbo ya show me, Mavoko kaimba akitamka lyrics hii... "Saa sita.... " huku akinyoosha vidole kwenye kifua kuashiria CHUCHU ZILIZOSIMAMANdo mana mavoko kaamua kuondoka maana anaona tabia hazindani nao
nadhani una. fkira ndogo sana hivi kwa ulimwengu wa sasa unaweza kumzuia mtoto asisikie hizo nyimbo na jua kizazi cha sasa ni kile cha kuoji tena kinapelelez kuliko kawaida utamzuia kwako kwa jirani wameweka volume 120 hadi mtaa wa pili wanasiki ......sijui utamfungia wap huyo mwanao asisikieTeam Mo Faya ktk ubora wako, kwani wewe kwachu kwachu umeelewaje?!halafu kwa nini unawaacha wanao wanasikiliza yasiyo wahusu!? Tafsida ndo imetumika sana humo ni wewe tu na mawazo yako ya kingonongono tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
shida ni Basata wanafungia video na nyimbo za ndani za njee zinaumiza kizazi kilichopo na kinacho kuja kinajengwa vibaya zaidiR Kelly au Lil Wayne akisema hayo hayo kwa kiingereza ruhsa,ila mbongo ndiyo nongwa.Unafiki tu
Mkuu ndio maana wakatumia tafsida ili wakubwa tu waeleweSiku zote huwa nasema...
Tunakosea sana tukiwalaumu wasanii kwa kuimba matusi.
Wanamwimbia nani???
Vipi mapokeo ya nyimbo za matusi na zile ambazo hazina matusi...
Wanaimba kwa ajili ya mashabiki, na mashabiki wanazipokea vizuri nyimbo za matusi kuliko maadili..
How comes msanii aanze kuimba kilimo cha nyanya, unafikiri nani atakayesikiliza...
Dawa ya wasanii kuacha matusi ni kuacha kuwashabikia tu pindi wanapoimba..
Nyimbo zote za matusi zipotezewe..
Yani zisipewe airtime bila kutumia mabavu...
Ifikie pahala anayeimba matusi apotezewe top ten na show
Lakini hata ukiwafungia namba gani kama mashabiki wanapenda matusi, basi hawataacha KAMWE..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafsida zimetumikaBaby papasa kichwa cha jusi kafiri nisafishe mtaro, na ulvyojaza nyuma fungu mbilii nyanya za masaroo. Duuuh
Jinkolo kolo, uno nasokotaga
Sasa apo mkuu icho kipande kwa mtoto kinashida gani?Tema mate nitereze kama nyoka pangoni