Jibu kama mama wa Kiafrika

Jibu kama mama wa Kiafrika

Alejandroz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
329
Reaction score
413
Mama niweke wapi hii sahani
FB_IMG_1638608708229.jpg
 
-Itafune polepole kwa chai.
-kaiweke kitandani kwako.
-kaiweke chooni tutaitumia kubebea kibuyu cha kujiswafi.
-jibamize nayo usoni huku unatabasamu.
Nadhani inatosha ndugu zangu!
 
Njoo unitwishe kichwani kwangu.
Peleka chooni.
 
※ Iache hapo hapo atakuja kuitoa baba ako

※ Njoo uweke kichwani kwangu

※ Iweke mgongoni kwa shangazi ako (mashangazi sjui tulikosea wapi?😥

※Kaiweke juu ya bati..

Shkamoo wamama🙌🙌🙌
 
※ Iache hapo hapo atakuja kuitoa baba ako

※ Njoo uweke kichwani kwangu

※ Iweke mgongoni kwa shangazi ako (mashangazi sjui tulikosea wapi?[emoji26]

※Kaiweke juu ya bati..

Shkamoo wamama[emoji119][emoji119][emoji119]
Hahahah
 
Back
Top Bottom