Si kweli kwamba kila mtu ana haki ya kupata anachokipenda.
Kuna wengine wachawi wanapenda kukula wewe nyama wacheze cheketu cheketu mahepe, nyamaya mtu ni tamu.
Nao utasema wana haki ya kukula wewe nyama kwa sababu wanapenda kula nyama yako?
Hakuna mwenye haki ya kupata akipendacho, ila kuna haki za watu fulani kupata vitu fulani.
Kwa mfano, "The Universal Declaration of Human Rights" limeelezea haki za binadamu wote tangu mwaka 1948
What is the Universal Declaration of Human Rights? | Australian Human Rights Commission