Jibu kwa kifupi tu.

Jibu kwa kifupi tu.

Si kweli kwamba kila mtu ana haki ya kupata anachokipenda.

Kuna wengine wachawi wanapenda kukula wewe nyama wacheze cheketu cheketu mahepe, nyamaya mtu ni tamu.

Nao utasema wana haki ya kukula wewe nyama kwa sababu wanapenda kula nyama yako?

Hakuna mwenye haki ya kupata akipendacho, ila kuna haki za watu fulani kupata vitu fulani.

Kwa mfano, "The Universal Declaration of Human Rights" limeelezea haki za binadamu wote tangu mwaka 1948

What is the Universal Declaration of Human Rights? | Australian Human Rights Commission
Simaanishi kuvunja haki ya mwingine.
 
You get what you deserve, not what you want or wish to have.
 
Sio lazima upate unachokipenda/kihitaji bali ni lazima upate ulichopangiwa na mungu wako finish
 
Huwezi kupata unachokipenda wala huna haki!!
Kama mie hapa napenda niwe MKE WA TRUMP lakini siwezi kupata hiyo bahati
 
Back
Top Bottom