Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

Mkuu bado sijapata jibu la swali langu
 
Mkuu ukijua kustate newton's lawa of cooling na ukajua inamaana ipi jibu nadhani utalipata haraka sana.
Mkuu huko tushatoka…usikimbie kuelezea,lengo langu kujifunza…Kama vipi elezea Newton’s law of cooling inahusu nini na Mpemba Effect inahusu nini na kwanini havihusiani
 
that hot water has less dissolved gas (such as oxygen and nitrogen) than cold water
Inamaana baada ya hot water kuwa cooled nayo itakua na high dissolved gas si nihvyo mkuu?
of cz kwasbb maji ya liyo kuw na ubaridi molecules zake zinakuwa compacted tofauti na maji yenye joto...kwhyo hot water yakiwa cooled yatakuwa na density kubwa......kuhus huwepo wa dissolved hazitakuwepo kwasbb zitakuw zimesha evaporate during heating ....hapa effect ya kuchelewa kuganda kama yatawekwa kweny refrigrtor n kutokan na uwepo wa compacted molecules zitakazo sababisha density kuwa kubwa....kutokan na density kuw kubwa maji hayo yatachelewa kuganda
 
Mpemba effects . Kuna mambo hapa mnachanganya .
 
Mpemba effect ni uhuni tu wa kipemba ambao ni wa kuupotezea.

Hayo yote newton alikuwa ameshayaelezea kwenye Newton’s law of cooling miaka karibu 500 iliyopita
Mpemba yeye aligundua practical yake na ndiyo maana akapewa heshima ya Mpemba's Effect na si Mpemba's Law. Law inayotumika kwenye effect hiyo ni ya Newton. Kipindi Newton anaishi, possibly hapakuwa na freezers na ndiyo maana Newton hakupata muda wa kuielezea effect hii
 
Newton law of cooling haielezi mpemba effect mkuu. Mpemba effect unajikuta zaidi Kwanini ukiweka maji ya Moto kwenye friji na yabaridi Kwanini Yale ya Moto yataganda haraka kuliko ya baridi?
Hapana, yuko sawa, wewe ndiye unayefanya makosa. Mpemba effect siyo law; ni effect ambayo uthibitisho wa maelezo yake unapatikana kwenye Newton's Law of cooling.

Yaani tuseme mtu akiuliza swali kwamba kwa nini maji ya moto yanaganda haraka zaidi kwenye freezer kuliko yale ya baridi, jibu lake sasa hapa linakuwa ni kutokana na "Newton's law of cooling"
 
Physics cum Chemistry vimejibiwa na development studies.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Sawa sijui, we unayejua tuelze
So sad anashindwa kuelewa hata ulivyomuelezea.
 
Umejitajidi kutoa ufafanuzi , na hakika wewe umesoma na kuelewa hujakariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…