Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

Jibu Kwanini kimiminika Cha moto huganda haraka kuliko Cha baridi katika friji (mpemba's law)

less dissolved gas ndio sawa na pale nilivyoelezea na molecule kupoteza elements after heating....ni hivyo hvyo maji ya baridi disosolved elemts zinakuwa nying alf molecule moja moja katika maji zinakuwa nzito due to compacted za hizo dissolved elements
Mkuu bado sijapata jibu la swali langu
 
Mkuu ukijua kustate newton's lawa of cooling na ukajua inamaana ipi jibu nadhani utalipata haraka sana.
Mkuu huko tushatoka…usikimbie kuelezea,lengo langu kujifunza…Kama vipi elezea Newton’s law of cooling inahusu nini na Mpemba Effect inahusu nini na kwanini havihusiani
 
that hot water has less dissolved gas (such as oxygen and nitrogen) than cold water
Inamaana baada ya hot water kuwa cooled nayo itakua na high dissolved gas si nihvyo mkuu?
of cz kwasbb maji ya liyo kuw na ubaridi molecules zake zinakuwa compacted tofauti na maji yenye joto...kwhyo hot water yakiwa cooled yatakuwa na density kubwa......kuhus huwepo wa dissolved hazitakuwepo kwasbb zitakuw zimesha evaporate during heating ....hapa effect ya kuchelewa kuganda kama yatawekwa kweny refrigrtor n kutokan na uwepo wa compacted molecules zitakazo sababisha density kuwa kubwa....kutokan na density kuw kubwa maji hayo yatachelewa kuganda
 
of cz kwasbb maji ya liyo kuw na ubaridi molecules zake zinakuwa compacted tofauti na maji yenye joto...kwhyo hot water yakiwa cooled yatakuwa na density kubwa......kuhus huwepo wa dissolved hazitakuwepo kwasbb zitakuw zimesha evaporate during heating ....hapa effect ya kuchelewa kuganda kama yatawekwa kweny refrigrtor n kutokan na uwepo wa compacted molecules zitakazo sababisha density kuwa kubwa....kutokan na density kuw kubwa maji hayo yatachelewa kuganda
Mpemba effects . Kuna mambo hapa mnachanganya .
 
Mpemba effect ni uhuni tu wa kipemba ambao ni wa kuupotezea.

Hayo yote newton alikuwa ameshayaelezea kwenye Newton’s law of cooling miaka karibu 500 iliyopita
Mpemba yeye aligundua practical yake na ndiyo maana akapewa heshima ya Mpemba's Effect na si Mpemba's Law. Law inayotumika kwenye effect hiyo ni ya Newton. Kipindi Newton anaishi, possibly hapakuwa na freezers na ndiyo maana Newton hakupata muda wa kuielezea effect hii
 
Newton law of cooling haielezi mpemba effect mkuu. Mpemba effect unajikuta zaidi Kwanini ukiweka maji ya Moto kwenye friji na yabaridi Kwanini Yale ya Moto yataganda haraka kuliko ya baridi?
Hapana, yuko sawa, wewe ndiye unayefanya makosa. Mpemba effect siyo law; ni effect ambayo uthibitisho wa maelezo yake unapatikana kwenye Newton's Law of cooling.

Yaani tuseme mtu akiuliza swali kwamba kwa nini maji ya moto yanaganda haraka zaidi kwenye freezer kuliko yale ya baridi, jibu lake sasa hapa linakuwa ni kutokana na "Newton's law of cooling"
 
Hatimaye najibu Mpemba's Law [emoji2960] Kwanini kimiminika cha moto kinaganda haraka kuliko cha baridi katika friji.. Hapa jibu letu tunaweza kulipa jina "Utaratibu wa Mapambano ya Usawa". Kuwa kitu kilicho katika uchini wa chenzake hupambana kufikia hali bora na katika kupambana huko kitu hicho hushinda na kuwa bora zaidi.

Mfano mtoto mdogo huweza kujifunza haraka kuliko mtu mzima. Kwa ufupi tunaweza kusema Law of Comeback [emoji16] au nimezunguka sana wadau.

Hii law tuiundie jina au tuite law of comeback
Physics cum Chemistry vimejibiwa na development studies.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Sawa sijui, we unayejua tuelze
Hapana, yuko sawa, wewe ndiye unayefanya makosa. Mpemba effect siyo law; ni effect ambayo uthibitisho wa maelezo yake unapatikana kwenye Newton's Law of cooling.

Yaani tuseme mtu akiuliza swali kwamba kwa nini maji ya moto yanaganda haraka zaidi kwenye freezer kuliko yale ya baridi, jibu lake sasa hapa linakuwa ni kutokana na "Newton's law of cooling"
So sad anashindwa kuelewa hata ulivyomuelezea.
 
Jibu, kwenye Maji ya moto, molecules za Maji hayo Zina kuwa na nguvu (energy ) kubwa na kuwa free kupiga misele huko na kule, lakini kwenye Maji ya baridi molecules zinakuwa na nguvu kidogo kulinganisha na za kwenye Maji moto na Zina uoga wa kupiga misele.

Kwa hiyo, kwenye Maji moto kwa kuwa molecules huwa na nguvu ya misele basi zile zilizo kwenye mpaka(boundary of control volume) upoteza nguvu hizo haraka zikijaribu kukimbia mpaka huo kwa sababu ni nyepesi(low density) huku zikilazimishwa kubaki hapo mpakani kwa nguvu ya mvutano( Vand der Waal's force).

Sasa na zile molecules nyingine kwenye Maji hayo hayo ya moto kwa kihelehele Chao kisa Zina nguvu nyingi ukimbilia mpakani. Kabla hazijafika mpakani, ukumbana na uzio wa molecules nyezao zilizopoteza nguvu na kuanza kuzisaidia (kwa kuziongezea nguvu) kujinasua kwenye Hali Ile ya kupoteza nguvu haraka na kujinasua mpakani. Nazo hizi molecules pia unasa kwenye uzio huo. Kufanya hivyo, husababisha molecules hizi zinazotoa msaada kupoteza nguvu nyingi kwa kasi kubwa sana kuliko hizo molecules zilizo mpakani kwa sababu zinatoa nguvu ya kuwanasua wenzao lakini pia Nazo zinapambana kujinasua kwenye uzio. Hali hii uendelea kwa kasi zaidi kwa molecule nyingine zinazofuata (Hii hasa ndiyo sababu ya Maji ya moto kuganda haraka). Hali hii uendelea hivyo hivyo na kusababisha aina fulani ya mpangilio unaoeleweka wa molecules (loss of entropy).

Kumbuka molecules zote kwenye hayo Maji ukimbia kutoka ndani(interior) kuja mpakani (boundary); hii usababisha kutengenezeka nafasi wazi kule ndani. Ndiyo maana barafu zitokanazo na maji ya moto zinakuwa na vinafasi wazi katikati mara nyingi.

Kwa upande wa maji baridi molecules zake Hazina amsha amsha kama kwenye maji moto, hivyo mchakato wake wa kuganda huwa wa taratibu mno ukilinganisha na maji moto. Hivyo Maji ya baridi hayagandi haraka.

Nadhani nimetoa ufafanuzi unaoeleweka wa Mpemba Effect. Hatuhitaji sheria nyingine mpya ya malipizo, yaani Comeback law kisa tu hatutaki kuielewa barabara Mpemba Effect.

Tafadhali Pinga hoja yangu hii kwa kufanya kwanza jaribio la kugandisha Maji ya moto na baridi kwa wakati mmoja.

Heko Mpemba Effect.
Umejitajidi kutoa ufafanuzi , na hakika wewe umesoma na kuelewa hujakariri.
 
Back
Top Bottom