Jibu la Zamaradi baada ya kuambiwa ana roho mbaya

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya.

Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "Mmanyema mmoja hivi!!"



Moja ya shabiki wake akajitokeza na ku-reply kwenye hiyo post "mwenye roho mbaya yake". Mwanadada Zamaradi akashindwa kujizuia na kumjibu "Hatari kabisa tena mbaya kweli kweli".



Hii sio mara ya kwanza watu kumshutumu Zamaradi kuwa ana roho mbaya maana hata aliekuwa rafiki wake wa karibu Faiza Ally alishawahi kumshutumu kwenye hilo.

Nini maoni yako?

Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️
 
Hii nayo ni habari??
Kabla huja-comment uwe unaangalia kwanza upo Jukwaa gani.

 
Huu shambenga hatuutaki humu. Kwanza hatumfahamu. Au unajipromote?
 
wanawake wembamba, Mungu awasaidie tu, wengi wenu roho zenu mnazijua wenyewe. wakifuatiwa na wanawake wafupi. nakumbuka tu kipindi kile ruge analialia kwenye clip afu akairusha ili aaibike zaidi na akaenda kuolewa na huyo shambaboy wa pm. huyu dada nilimdharau tangu siku ile.
 
Bongo ukitaka kutoboa inabidi uwe na roho mbaya kweli kweli. Ukiwa mkarimu au mwema, people take it as a sign of weakness and will definitely take advantage of you...
 
Mama abdul upo period unataka tukujibu halafu tupate balaa kutwa ya leo? Kwasababu hapo ulipo ukichuma tembele lazima likauke
Kijana ningekujibu kwa matusi kama ulivyofanya ila kwa kulinda heshima yangu nimeona sio vema kujibishana na wewe kijana wa kiume unayekubali kuingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wenzio.
 
Mimi sina maoni lakini nawashauri watu wenye roho mbaya wote wazipake rangi ili zipendeze pendeze kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…