Jibu la Zamaradi baada ya kuambiwa ana roho mbaya

Jibu la Zamaradi baada ya kuambiwa ana roho mbaya

Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya.

Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "Mmanyema mmoja hivi!!"

View attachment 2907949

Moja ya shabiki wake akajitokeza na ku-reply kwenye hiyo post "mwenye roho mbaya yake". Mwanadada Zamaradi akashindwa kujizuia na kumjibu "Hatari kabisa tena mbaya kweli kweli".

View attachment 2907948

Hii sio mara ya kwanza watu kumshutumu Zamaradi kuwa ana roho mbaya maana hata aliekuwa rafiki wake wa karibu Faiza Ally alishawahi kumshutumu kwenye hilo.

Nini maoni yako?

Imeandikwa na Mjanja M1 ✍️
Maoni yangu hapo ni uwepo wa character assassination
 
Kijana ningekujibu kwa matusi kama ulivyofanya ila kwa kulinda heshima yangu nimeona sio vema kujibishana na wewe kijana wa kiume unayekubali kuingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wenzio.
Mama Abdul nimetukana wapi? Au wewe Mama Abdul hauingii Period? Mimi ni mwanaume sasa naingiliwaje wakati mimi sio mfuasi wa papa?
 
Wewe hauoni hata anenepi pamoja kuwa na maisha fresh? Mtu anatembelea Autobiography ,matangazo kibao ,mmewe sms garage inamuingizia maokoto ,TV inapata matangazo lakini Bibiye mwili umegoma...Aondoe chuki ili anenepe.
 
Mkuu ulishawahi kuwa mwandishi wa gazeti za udaku?maana uandishi wako kama nishauona sehemu.
 
Hivi hao the so called mashabiki wa watu kama hawa,huwa wanashabikia nini haswa?
 
Back
Top Bottom