1...........
Nilizaliwa 1990 jijini Dar es salaam..
Nilipoteza wazazi nikiwa mdogo sanaa (darasa la 4) nikapitia mengi kama kutengwa na ndugu, kulala jikoni, kulala barazani, kuchota maji kwenye nyumba za watu Dar es salaam ili nipate hela ya Shule, na mengine magumu mengii ambayo mayatima hupitia, ila NILIVUKA KWA KILIO, MAJUTO, UKOMAVU NA KILA AINA YA SALA.
The rest now is history.
Kwasasa nina Miaka 31.
Nilizaliwa Dar, nikasomea Dar na nilianza Kazi private Dar (2012) kabla sijaingia serikalini 2013
Kwasasa naishi Mkoani@kazini.
Elimu:- Nina Masters, ndani ya miaka hii mi5 ya Samia nahitaji kurudi darasani kuchukua PhD.
Nina mtoto wa kike na naishi nae..!!!
Sina mpango wa kuoa kabisa na Wala sifikiriii.
Kwasasa nawaza tu kupata money.
Nahitaji pesa, pesa ni furaha.
Pesa zinanipa fursa ya kwenda kokote na kukutana na yeyoteee, maana hata hizo ndogo nilizonazo sasa zimenithibitishia hilo.
Ngoja nifike miaka 39 ndio nitakwambia naoa lini..!!!
Ila nahitaji mtoto wa pili...!!!
2.......
2015 ndio nilimfumania mchungaji wa KKKT akitombana na demu wangu.
Ila hii sio sababu ya kugoma kuoa maana hata 2014 nilishawahi shindwana na mtoto wa shehe kisa alitaka nikajitambulishe kwao na Mimi kuoa SITAKI.
Hata wiki iliyopita nilishindwana na mtanga mmoja baada ya kukuta sms za mwanaume wakisifiana juu ya kugongana.
Kwenye mapenzi sitaki stress, nikikususpect nakuchunguza nikifuma ukweli IT'S DONE, usisahau MWANAMKE MZINZI HASAMEHEWI.
Kwasasa nimejikita kwenye uwekezaji na hasa wa Kilimo, nafanya kilimo cha matunda na miti.
Naamini ""INVESTMENT is the best than BUSINESS""
View attachment 1855932
Kengine, napenda sanaa kutomban* ila KUOA HAPANA.
SIJAONA SABABU YA KUOA MPAKA SASA.
#YNWA