Jibu langu kwa Liverpool VPN na wenye shaka sa ndoa

Commit = Kujitoa.

Naassume na commitment itaangukia humu. Upo sahihi.
 
Wasifu mzuri sana wa kabwela mwandamizi mmoja wa jf
 
Bro hili jibu lilikua kwaajili ya kuaddress hali anayopitia rafiki yako niamini mimi sijalenga kukulazimisha uoe.

Mwanamke mzinzi hasamehewi huo ni mstari wa dini kama unaweza kuuishi huo mstari eventually you will settle down with someone.
 
1...........
Nilizaliwa 1990 jijini Dar es salaam..

Kengine, napenda sanaa kutomban* ila KUOA HAPANA.

SIJAONA SABABU YA KUOA MPAKA SASA.

#YNWA

Ukiacha hizo porojo hapo juu, unajisifia unapenda kumbato lakini kila mara umekuwa ukifumania UNAGONGEWA…. jichunguze utagundua tatizo lipo kwako.

Fundi wa kuto mba kiasi cha kujisifu lakini kila siku unagongewa, bora jikite kwenye kilimo tu.[emoji1614][emoji36]
 
Maoni yako juu ya anal sex yanaashiria you are open na unaweza jadiliana na mwenzi wako jambo lolote and kinky. Hiyo attitude nenda nayo kwenye ndoa mtapita katika phase ya sex rut easily.
Hiki ulichokiandika kinahusu nini na hii mada? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaojistukia na unafiki wao, utawajua tyuuh lol
 
Hujanielewa...

Kufumania ni mara moja tuu...

Ila wengine ni sms tu zilitosha kuwapiga chini.

Mbona hata mkeo anatombwa, Kama unabisha leo kavamie simu yake. Kwanini usimpige Chini??

Mi nikikuta sms tu inatosha kuvunja uhusiano.

Nakuta sijui ana chat na Ex ili wajikumbushe NAPIGA CHINI.

Nakuta sijui wanachat na mchepuko juu wa uchepukaji walioufanya NAPIGA CHINI.

Nakuta sijui anabembelezwa akagawe tunda na kaingia laini NAPIGA CHINI.

Yaaani nikihisi kanisaliti na nikathibitisha NAPIGA CHINI.

Nikuulize wewe "Mkeo ameingizwa guest ila bado unakomaa nae" eti sijui TUMEZAA, sijui SIWEZI ISHI BILA YEYE.

Mi sheria yangu MWANAMKE MZINZI HASAMEHEWI.

Any evidence will make enough evidence to END THE RELATION.

After all WANAWAKE NI WENGI MNAKAAJE NA HAO WALIOCHEPUKA NA KUWASILITI ETI KISA NDOA?

Chukua huyu, then kabadilika PIGA CHINI NENDA KWA YULE.

NO HEADACHE ATTACHED.

PIGA CHINIIIIIIIII

#YNWA
 
Umenikumbusha movie ya Kanumba ya MOSES...
 
Hiki ulichokiandika kinahusu nini na hii mada? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaojistukia na unafiki wao, utawajua tyuuh lol
Umenielewa visivyo.

Nilichoandika ni nimekimaanisha kama nilivyomaanisha hamna hidden meaning hapo. Ni kweli pia kipo mbali na mada ila niliongelea ni vipi openness inasaidia katika kuishinda sex rut.

Samahani kama nimefanya unione mnafiki.
 
Nafikiri unazunguka mule mule kwamba unapenda kumega ila hua unamegewa.

Mmoja ulimfumania kabisa.

Wengine ulikuta washafanya.

Wengine wanaelekea kufanya.

Are you insecure?
 
Nafikiri unazunguka mule mule kwamba unapenda kumega ila hua unamegewa.

Mmoja ulimfumania kabisa.

Wengine ulikuta washafanya.

Wengine wanaelekea kufanya.

Are you insecure?
Ni kuwachoka tu.

Nikikuchoka sababu haikosi.

Siwezi kuwa na mmoja kwa zaidi hata ya miezi.

Nikilala nao mara 3 au 4, then hakuna jipya basi ni ku time simu YAKO tu ili tuachane.

Japo wapo ambao nikupunguza mawasiliano na wao hujiongeza na kuchuniana then ITS over.

Tatizo hata awe mzuri vipi nikisha mgonga tu basii tenaa.

Nilikua nikifikiria labda Nina tatizo kumbe ni wanaume wengii wako hivi, wakisha kula mamanzi basi hamu ya kuwa nao huisha.

Hata humu nilishawahi ona nyuzi msela analalamika "Kila nikilala na mwanamke hata kama ni mzuri vipi basi simpendi Tena""

#YNWA
 
Umenielewa visivyo.

Nilichoandika ni nimekimaanisha kama nilivyomaanisha hamna hidden meaning hapo. Ni kweli pia kipo mbali na mada ila niliongelea ni vipi openness inasaidia katika kuishinda sex rut.

Samahani kama nimefanya unione mnafiki.
Sio kwamba sikuelewa ulicho maanisha, nilielewa tena hata ya ulivyotegemea nielewe, tena najua kuhusu hilo zaidi yako.

Ila nilichomaanisha, kile ulichoandika sio sehemu yake hapa, au haihusiani na mada.

Yes ni mnafiki coz unachanganya mambo, ambapo hapahusiki na hakuna ulazima wa kuchanganya.
 
Kuhusu openness kusaidia during sex rut ndivyo class tulivyoambiwa kwakua unajua kunizidi means nilichofundishwa kimekua outdated au shallow au una experience kubwa.

Sibadili maoni yako juu ya mimi kua mnafiki ila hauna sababu ya kua moody learn when to see compliments. Compliments hutokeza popote regardless mmekutana katika uzi/ mazingira gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…