MUWHWELA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 176
- 259
Niwaslimu ndugu zangu na tuendelee kuuipa akili kazi.
Kuna TOFAUTI kati ya jibu na jawabu ,jibu ni maoni ya MTU kwa KADRI ya taarifa alizonazo na JAWABU ni uhalisia wa mambo bila kujali hali au mapokeo ya MTU husika (it's a fact based)
Sasa!!!
Watu wengi tunatamani majawabu Moyoni lakini AKILINI tunataka majibu, majibu mara zote hufurahisha sikio na HULETA msisimko wa muda tu, and most of Time MTU hujibiwa kwa KADRI alivyouliza. Hii imekuwa sumu kubwa sana kwa jamii ya watanzania ni afrika,hatupendi kuambiwa ukweli na kujua vitu kwa uhalisia wake. Ipe AKILI kazi.
1-ukisema serikali imekosea mahala fulani,Kuna kundi la watu watakupinga kwa nguvu zote, siyo kwa sababu wanataka kukupinga tu hapana ni kwa sababu akili zao zinapenda kusikia mambo mazuri mazuri tu and hawataki fact. Mfano..waziri wetu wa fedha anasema "tujadili namana Bora ya matumizi ya mikopo na siyo ukubwa wa deni la taifa" ukitaka jawabu lifanye kazi yake akili itakwambia...siyo kweli!!! Hatuwezi kujadili mambo yaliyomalizika tayari (kukopa mmekopa na matumizi mmeshafanya Nini tujadili) acha sheria ya asili uamue yenyewe.
2-Dini, yenyewe inasema jiwekee fedha kama akiba utaikuta mbinguni!!!! Jibu litakwambia tu tu kirahisi "IMANI hazipaswi kuhojiwa" maana zenyewe zimetoka kwa MUNGU. Ni sawa ....lakini ukitaka jawabu likupe jinsi inavyotakiwa litasema hivi.
"Hakuna fedha inayoenda mbinguni maana hakuna mbinguni" ni ngumu kuelewa lkn ndiyo uhalisia wenyewe.
Binadamu tunauziwa HOFU ili kundi Fulani la watu waendelee kunufaika na kiwango Cha ujinga wetu wao na vizazi vyao-.Tuendelee kuipa akili kazi ili tutamani majawabu kuliko majibu.
SIJUI HATA NILITAKA NISEME NINI
AKILI UKIIPA KAZI TUTAKUWA PAMOJA
2025