Jibu swali kibashite bashite hapa. Ukiulizwa kushoto wewe jibu kulia!!

Swali:kwanini gwajima anajiingiza kwenye maswala ya siasa??
Jibu:hakuna jibu hapo jibu labda analo mwenyewe
 
[emoji1]
 
Fun Lol nimecheka mwanzo mwisho shukranii mwanzisha thread
 
swali :hivi ivan amekufa lini ?
jibu:atakae wapata magaid wa mkuranga atapata bonge nono la tsh 120 milions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…