Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,287
Swali:kwanini gwajima anajiingiza kwenye maswala ya siasa??
Jibu:hakuna jibu hapo jibu labda analo mwenyewe
Jibu:hakuna jibu hapo jibu labda analo mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The best hahahaSWALI: Mh. Raisi Wananchi wanadai kwamba eti wewe ni dikteta?
JIBU: Saddam Hussein ni raisi wa KUWAIT.
Watch it, not to that extentMbona mnajiuliza wenyewe
Hii inatakiwa we unauliza mi najibu haya twende
Mheshimiwa.. Usitishwaji wa ajra mpaka lini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]SWALI: Mh. Raisi Wananchi wanadai kwamba eti wewe ni dikteta?
JIBU: Saddam Hussein ni raisi wa KUWAIT.
Mkuu kumbuka now ndie boss wa lile geshiiiSwali:Kuna utata kwa mtuhumiwa mlomuua mkisema jambazi
JIBU:Yule ni jambaz nendeni mkaulize eneo la tukio
[emoji1]Swali:Ni kweli umekula rambirambi?
Jibu:hela zote ni mali ya serikali,serikali ina mamlaka ya kula rambirambi za marehemu yoyote hata wewe ndugu mwandishi ukifariki serikali inaweza kutafuna rambirambi utakazochangiwa mithili ya mchwa watafunavo mabua