Jibu swali kibashite bashite hapa. Ukiulizwa kushoto wewe jibu kulia!!

Swali: Mh. Ujenzi wa reli ya SGR utatumia fedha zetu au mkopo?

Jibu: Ole wenu kesho msinitoe Fenti fedi

Swali: Mh. Huu mchanga uliopo kwenye makontena haya una dhahabu kiasi gani?

Jibu: Sasahivi tunadhibiti wapiga dili wote
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mleta uzi kafikiria nn?
 
Swali:una watoto wangi na mkeo tangia ulipofunga nae ndoa mh.Bashite
Jibu;kwa kweli yale maharage tuliyokua tunakula na Ruge sijui ni ya wapi maana tulikua tunajamba sana..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol
 

Swali:Kwani bashite una umri gani mbona unaonekana mdogo sana kulinganisha na madaraka makubwa uliuonayo

Jibu:koromije iunganishwe na dar ili iwe mojawapo ya wilaya za dar.nataka mipaka ya madaraka yangu iongezeke
 
Swali: Mama Anna mghwira wewe ni ACT mbona umeteuliwa na CCM kuwa RC utatekeleza ilani ipi?
JIBU: Mh. Rais anafanya kazi nzuri sana Watanzania mambo ya vyama tuweke pembeni watanzania wanataka maendeleo.
 
Reactions: SDG
FATMA NYANGASA. Swali; Mh Waziri (Dr.Mpango) deni la taifa linakua kufikia trilioni 50, huoni hii itaathiri utekelezaji wa bajeti mwaka ujao wa fedha??

DR.MPANGO; JIBU: ' Mataifa yote yanadaiwa.............'
 
Swali: mkuu eti PhD yako ni feki?

Jibu: nawaomba mniombee na mimi sitawaangusha kwani msemakweli ni mpenzi wa mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…